South africa military strength | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

South africa military strength

Discussion in 'International Forum' started by Pezzonovante, Oct 24, 2011.

 1. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  PERSONNEL
  Total Population: 48,782,756 [2008]
  Population Available: 23,124,044 [2008]
  Fit for Military Service: 11,513,601 [2008]
  Reaching Military Age Annually: 1,051,879 [2008]
  Active Military Personnel: 60,000 [2008]

  ARMY

  NAVY
  Total Navy Ships: 22
  Merchant Marine Strength: 3 [2008]
  Major Ports and Harbors: 5
  Aircraft Carriers: 0 [2008]
  Destroyers: 0 [2008]
  Submarines: 3 [2008]
  Frigates: 0 [2008]
  Patrol & Coastal Craft: 6 [2008]
  Mine Warfare Craft: 8 [2008]
  Amphibious Craft: 0 [2008]

  AIR FORCE
  Total Aircraft: 425 [2003]
  Helicopters: 132 [2003]
  Serviceable Airports: 728 [2007]

  FINANCES (USD)
  Defense Budget: $3,700,000,000 [2007]
  Foreign Exch. & Gold: $32,940,000,000 [2007]
  Purchasing Power: $467,800,000,000 [2007]

  OIL
  Oil Production: 200,000 bbl/day [2006]
  Oil Consumption: 519,000 bbl/day [2006]
  Proven Oil Reserves: 15,000,000 bbl [2007]

  LOGISTICAL
  Labor Force: 20,490,000 [2007]
  Roadways: 362,099 km
  Railways: 20,872 km

  GEOGRAPHIC
  Waterways: 0 km
  Coastline: 2,798 km
  Square Land Area: 1,219,912 km

  Sources: Central Intelligence Agency
   
 2. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Cheki hiyo bajeti ni ya tanzania nzima pamoja na pesa za wafadhili ndani
   
 3. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Msibabaike sana na fifaa. Waarabu wanavifaa vya bei sana lakini hawajui kupigana. Wamerekani wanaogopeka kwasababu wanapigana kirtahisi ukiwaingilia hawaogopi kupeleka wanajeshi na kufa vitani. China ni waoga wa kupigana. Tanzania hatuna vifaa vingi lakini tukikasirika hakuna anayetuweza East Africa kwasababu hatuogopi kupigana pamoja na upole wetu.
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Endelea kujipa moyo, mtu anakurushia rocket kutoka umbali wa Km 1,000 tena inaingia chumbani kwako kisha ndo inalipuka, hasira sijui utamtolea nani.
   
 5. i411

  i411 JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  kama huo mzinga una anwani ya mtumaji atajua cha mtemakuni na silaha zetu duni tutaenda kukomba mizinga yake
   
 6. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Hahahaha.. wabongo wanapenda kusema hivi bana daah! vifaa ndo kila kitu aise.. naona unakosea sana kusema eti nyie kivita ndio wababe East africa, yani ile vita ya kumngoa nduli Amin ndio inakua kigezo.. hahahaha, walahi Recce Unit ya GSU wanaweza tawanya jeshi lenyu mbaya.. dont mess with Kenya bruh.
  Peace
   
 7. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  What is Fifaa? ila pia hasira kwenye mapigano ni moja ya udhaifu ujue
   
 8. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia vita ya kumng'oa Amin ndo kigezo?! TPDF imepigana vita nyingi mno, rudi tu ukajifunze upya. Halafu kwa taarifa yako kuwa na vifaa ni muhimu lakini vifaa siyo kila kitu kama unavyosema... Jifunze kuhusu vita mbalimbali duniani utajua hilo.
   
 9. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  sawa mkuu, lakini nikisema vita ya kumngoa Amin na maanisha vita za kitambo, zile za ku liberate southern african countries.. sina ubaya lakini, just voicing my opinions
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kuna vita moja ya juzi juzi tu i think ilikuwa 2008 ya kumng'oa Alshaabab Bacar kule visiwani Comoro. Hatukupoteza askari yeyote vitani, ila kwa bahati mbaya kuna kijana wetu mmoja alizama baharini na kufariki (RIP) wakati wanarudi....

  [​IMG]
  Mbishi Col. Mohamed Bacar.
  [​IMG]
  [​IMG]
  Vijana wakiingia kwa style ya amphibious assault.
  [​IMG]
  [​IMG]
  Vijana wa Kazi wanatisha.
  [​IMG]
  [​IMG]
  Halfu vijana wanakubalika sana kule.
  [​IMG]
  Jamaa mwenyewe ikabidi aje kutoa mkono wa shukrani kwa Mkulu Vasco.

   
Loading...