Cordy bnei shirk
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 366
- 322
Wakati leo napata chai kwa wakwe zangu,kwenye luninga kukawa na tamthilia asubuhi hii kwenye Azam two. Katikati ya tamthilia ilipigwa nyimbo flani hivi kali sana ya kiswahili kama soundtrack ambapo mwanamke analalamika alivochoka anavofanyiwa na mpenzi wake sasa wakati anachukua virago vyake aondoke ikapigwa hiyo bonge la soundtrack. Nilitamani nirikodi ila sikuweza sababu ya ugenini ila ningependa kujua ntapata wapi
Ile nyimbo au inaitwaje. Kama kuna watu wa Azam humu msaada wakuu
Ile nyimbo au inaitwaje. Kama kuna watu wa Azam humu msaada wakuu