Jamani computer yangu inatatizo la kutotoa sauti napata error message ya sound problem na nikiinstall sound driver inakataa na napata message ya kuinstall microsoft bus driver.Msaada ninaoomba kwanza nini chanzo cha sound problem huska?microsoft bus driver ndo nini?na nifanye nini kutatua tatizo leo na cku zingine lisijirudie tafadhari sana naomba msaada wenu.