Soulmate

Soulmate

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,157
Reaction score
2,663
Inasemekana hii kitu ina nguvu sana, uwe na mpenzi au siyo, mtu ambaye ni soulmate kwako/wako ni vigumu sana kumtupa.

Moyoni unakuwa na hisia kali mkiwa katika hali ya "SOULMATE" na haichagui umri kabisa...uwe na miaka 70 na mwenzio ana miaka 20 na bado mnaelewana tu fresh, ile ya jinsia tofauti wengi waliokumbwa nalo wanadai ni mtamu sana kupindukia.

SOULMATE INA NGUVU SANA

Ni kweli wenye hali kama hii kwenye jinsia mnaa
 
Kuna mmoja humu jamvini, nahisi ni Soulmate, maana...
^^
 
Haina haja ya kugoogle its derived frm the word roommate.

tayari mkuu, nimejua mengi kule mpaka dalili za huyu mtu pia wamezielezea, sina uhakika na huyu ninaeishi nae kama ndio kwangu lakini acha nimchunguze
 
Inasemekana hii kitu ina nguvu sana, uwe na mpenzi au siyo, mtu ambaye ni soulmate kwako/wako ni vigumu sana kumtupa.

Moyoni unakuwa na hisia kali mkiwa katika hali ya "SOULMATE" na haichagui umri kabisa...uwe na miaka 70 na mwenzio ana miaka 20 na bado mnaelewana tu fresh, ile ya jinsia tofauti wengi waliokumbwa nalo wanadai ni mtamu sana kupindukia.

SOULMATE INA NGUVU SANA

Ni kweli wenye hali kama hii kwenye jinsia mnaa

Biblia na Kurani zinasemaje juu ya hili.

Get us assured divinely.
 
Back
Top Bottom