Kama anasema ukweli , wacha aseme tuu....Japo naishi Mwanza lakini na - declare interest kwamba mimi ni mwanaume wa Dar kwa sababu ndo wazazi wangu wanapoishi na ndiyo nilipokulia.
Huyu mtangazaji wa Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL segment ya YOU HEARD anatudhalilisha sana wanaume wa Dar. Tabia yake ya kuleta habari za umbea tena umbea mwingine hata haustahili na hauna viwango vya kusemwa kwenye media, inatukera sana Wanaume wa Dar. Kile ki - segment ilipaswa apewe mwanamke kabisa, maana mwanaume kufanya kipindi kile na kwa vitu vyake anavyoviongea vinamfanya kudharaulika na kudhalilika.
Soudy Brown badilika bhana, unatudhalilisha wanaume wa Dar.
utalia machozi wa damu this year... mwenzako yupo kazini anapiga pesa wewe unalia lia.. je wakina joti na mpoki wanavyovaa nguo za kike wakati wanaigiza hiyo imekaaje.. hiyo ni kazi yake sio umbea wa mtandaoni kama wako.. jipime..Japo naishi Mwanza lakini na - declare interest kwamba mimi ni mwanaume wa Dar kwa sababu ndo wazazi wangu wanapoishi na ndiyo nilipokulia.
Huyu mtangazaji wa Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL segment ya YOU HEARD anatudhalilisha sana wanaume wa Dar. Tabia yake ya kuleta habari za umbea tena umbea mwingine hata haustahili na hauna viwango vya kusemwa kwenye media, inatukera sana Wanaume wa Dar. Kile ki - segment ilipaswa apewe mwanamke kabisa, maana mwanaume kufanya kipindi kile na kwa vitu vyake anavyoviongea vinamfanya kudharaulika na kudhalilika.
Soudy Brown badilika bhana, unatudhalilisha wanaume wa Dar.
Ile ni bonge ya segment.... BTW, mbona unamsema mwanaume mwenzako?Japo naishi Mwanza lakini na - declare interest kwamba mimi ni mwanaume wa Dar kwa sababu ndo wazazi wangu wanapoishi na ndiyo nilipokulia.
Huyu mtangazaji wa Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL segment ya YOU HEARD anatudhalilisha sana wanaume wa Dar. Tabia yake ya kuleta habari za umbea tena umbea mwingine hata haustahili na hauna viwango vya kusemwa kwenye media, inatukera sana Wanaume wa Dar.
Kile ki - segment ilipaswa apewe mwanamke kabisa, maana mwanaume kufanya kipindi kile na kwa vitu vyake anavyoviongea vinamfanya kudharaulika na kudhalilika.
Soudy Brown badilika bhana, unatudhalilisha wanaume wa Dar.
Tabia za wanaume wa darSasa kwa nini na wewe unamsema mwanamme mwenzio tena kwenye mtandao!
Huna ubavu wa kumtafuta na kumwambia ana kwa ana?
Sasa kwa nini na wewe unamsema mwanamme mwenzio tena kwenye mtandao!
Huna ubavu wa kumtafuta na kumwambia ana kwa ana?
Si keshasema kwamba japo yuko Mwanza yeye pia ni Mwanaume wa Dar...Sasa kwa nini na wewe unamsema mwanamme mwenzio tena kwenye mtandao!
Huna ubavu wa kumtafuta na kumwambia ana kwa ana?