sosoliso ulie tu..........

Alie tu acheke ana mbavu, kama kampata mdhungu basi tena tehe tehe.
 
Jamani si juzi tu hapa kamhonga gari inafanana na breakdown..!? Kweli wanawake hawaridhiki mwe...!!
 
Ha ha ha.. Bishanga naona umekuja kivingine.. Unatengeneza hofu ili tugombane na Paloma.. Halafu naona wengi wanapiga debe.. Subirini nyote nakuja na dawa yenu..
 
Last edited by a moderator:
pole ya nini kayataka mwenyewe,ubahili umemzidi,mwanamke kuhongwa.
Smile

Braza , kama wewe hujapatapo kuhongwa na Manzi , una bahati mbovu!
Itakua hujitumi ipasavyo! Pole wee!
 
Last edited by a moderator:
Jamani si juzi tu hapa kamhonga gari inafanana na breakdown..!? Kweli wanawake hawaridhiki mwe...!!

Mwenyekiti Baba V breakdown waifahamu wewe..? Yaani sie tunashambuliwa hapa na wewe unawaunga mkono..!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaa Shem Paloma kaza uzi tukamalizie ile nyumba ya Bibi pale Korogwe na kile kiwanja tufanye mpango tumjengee mtoto wa Baba yake baba yako pale Lushoto.....usiendeleee kukalia uchumi
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha.. Bishanga naona umekuja kivingine.. Unatengeneza hofu ili tugombane na Paloma.. Halafu naona wengi wanapiga debe.. Subirini nyote nakuja na dawa yenu..

huna lolote wewe.......katafute hela
Copy: Nyani Ngabu.....msaidie mwenzio ashanyang'anywa mke kama nilivyokunyang'anya wewe.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…