Sosoliso Huyoooooooooooooo

check mwenyewe alivyojipinda sasa................nataka watu kama hawa niwafanyie utafiti....Kim Kardashian alimuacha yule wake naye sijui why

Sababu ni hizo hizo tu, mtu ukimbeba mwenzako wajikaza mpaka unatisha lol.
 
hakuna kulia hapo... unakapeleka pembe ya kitanda, mambo yanaendelea...

Unadhani sosoliso anaweza sasa, huwaga ananiita mimi nimsaidie kumshughulikia huyo bidada.
 
Last edited by a moderator:
saudari hivi ukimkuta my wife wako na jitu kama hilo utafanyaje?
naomba samahani nimsaidie kujibu nitamwambia sikamoo kaka lijitu naomba tafadhali huyo ni mke wangu niachie tafadhali,ujue roho inaniuma ujue.namuomba basi kaka mkubwa.
 
Utadhani ni mwanae.
Sasa naanza kuamini ni kweli ile ni elastic...

Mwanae kwa baba yake.. Kwangu mie mkubwa mwenzangu Samil Silsih..
Ha ha ha ile ni kama mpira wa manati.. Inavutika kisha inarudi kama ilivyo awali..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…