Recipient
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 425
- 345
Ni dhahiri,
Kufukuzwa kwa Sophia Simba na wanachama wengine kumetokana na chuki, ghilba na roho mbaya ya watawala, wanaotaka kuigeuza chama kama chombo cha kuwanyanyasa wanachama kwa maslahi binafsi.
Hakuna makosa waliyoyafanya kiasi cha kufutwa uanachama.
Sophia atabaki kuwa mbunge kupitia mahakama kama chombo cha kuwatetea wwanaoonewa.
Kukamatwa kwa akina Bashe ni dhahiri wenye chama wanatengeneza mfumo wa kutompinga wala kumhoji mwenye chama chake.
CCM mtajuuuuuta mtakapothubutu kupitisha hicho kipengele kwa maslahi ya mtu moja.
Hii ni sauti ya mtu aliaye nnyikani. ..