Soon wanasuguana hapo juu

Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,

Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi

🥲

Britanicca
Hoseni anawacheki tuu, maana yeye ndie ajae...bwana atayapiga maji fimbo nae atayavuka na kukikalia kiti kile alichokalia babae bila watu kutarajia
 
acha wauane maana hawana akili wote

raisi wa mawe bwege sana, alitengeneza(ga) ka clip et cdm wanataka rusha mabomu kwenye mikusanyiko

yaan jamaa huwa n bwege sana
Huyo mnyaturu hafai kabisa kuja kuwa Rais! Akistaafu atulie tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…