Soon wanasuguana hapo juu

Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,

Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi

🥲

Britanicca
Kwani Samia anataka kuendelea Hadi 2035?
Kama hagombei 2030 wanasguana hapo juu na ndege mbaya sababu ya Nani?
 
Natamni ningekuwekea barua ya US wakimtaka mtu wao na kulaani mechanism ilotumika kutangaza kwamba imewachafua. Ujinga ni kudhan kila kitu mnajua, ni propaganda na kujifanya mnaweza sana kukonects dots. Kumbe kichwani mmejaa vinyesi

Mbona hasira
 
Sasa mara alizeti, mara nini hapakuwa na ukweli wowote, bado tukuamini!
Jamaa fix sana huyu. Watu wanaongelea kimama kutaka kujiongezea muda yeye analeta jambo ambalo haliko kabisa. Hii fi-si-em ya sasa ikuache utengeneze mtandao? Mkwere kashika usukani kikamilifu na rais wa mawe anajua hatari iliyopo kama atathubu kuleta fyoko. Sana sana anaugulia ndani kwa ndani tu.
 

Mnajitutumua(ga) kwenye mitandao Kama mna uwezo kweli yani, mkifika kwenye vikao mnajaziwa siagi midomoni mnakuwa domozege wanafanya watakavyo!

Mama atamuweka makei tu alinde maslahi ya familia zao anamuamini sana kuliko yeyote
 

Kumbe nchi unaoongozwa kwa desturi za chama chetu siyo kwa katiba na sheria

Safari tuliyo nayo ni ndefu sana
 
Kuna mmoja anawataka mashabiki wa magufuli wote wawe wake na mwingine anataka kujijenga kwenye mioyo ya GENZ shida wananchi waewashtukia kua wote wawili wapo kwenye CLUB MOJA NA KOCHA WAO MMOJA NA JEZI YAO MOJA
na hakuna hata mmoja atakayepenya. Niko hapa.
 
Kuna watu wapo nje ya mfumo na wanakubalika sana kuliko chochote,kuna msiba ulitokea wa mtu wa iringa,alipoitwa kutoa neno alipigiwa makofi sana mpaka stone's president akaona nongwa. Yule anakubalika haswa ndani na nje ya ccm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…