hbd 2 u!leo ni birthday yangu namshukuru mungu ni mzima wa afya, (kwa muonekano na ninavyo jisikia) lakini sifurahii miaka inapoongezeka ningependa niendelee kuwa kijana...
Nakwenda kupima ngoma kwani nilijiwekea utaratibu wa kupima "gwengwe" kila ninapo adhimisha birthday yangu. Sijacheza rafu nyingi mwaka uliopita hope i will smile baada ya majibu then nitakata keki niliyoandaliwa kwa ofisi. Nilizingatia sana fair play.
hiyo ngwe naiogopa mkuu lakini nadhani ni kikombe hatuwezi kiepuka
nakumbuka kulikuwa na mzee mtaani kwetu alikuwa hapendi kabisa kuitwa mzee