100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,733
- 30,457
Waliokuwa wanasema maandamano ni mikwara ya mtandaoni bado wapo?
Hasta la victoria siempre!Tukutane site kuwaondoa mashetani madarakani.
Mbona amejificha hivyo sasa? Si ajiweke wazi,
Mmmh.
Mbona amejificha hivyo sasa? Si ajiweke wazi,
Mmmh.
Bas sawaa!!Nenda utakutana nae huko atakako kuwa umwambie ajifunue uso ili mfahmiane
SawaaAtajitokeza kesho. Uwe kwenye mtandao tuu
Mbona kafunika uso. Muoga tu huyo hana lolote.
Mbona hawo askari huwa wanajificha nyuso zao na wapo kisheria. Kwanini elezea nikupe 10000.Mbona amejificha hivyo sasa? Si ajiweke wazi,
Mmmh.
Mie nimesema tyuuh, bas sorry.Mbona hawo askari huwa wanajificha nyuso zao na wapo kisheria. Kwanini elezea nikupe 10000.
Sura yake ya nini wewe unataka kuifanyia mastabesheni au Ili ukamnyakue mapema, hahahaMbona kafunika uso. Muoga tu huyo hana lolote.
Lakini askari wanaofunika nyuso zao sio waoga? Kwanini wafanye hivyo na wapo kisheria? Tusubiri kesho jee hawatakwepo watakaotembea bila ya uniform na kutoficha nyuso zao??Mbona kafunika uso. Muoga tu huyo hana lolote.
Unachoungumza ni sawa na kusema kwanini wale askari wa Hamas siku za kubadilishana mateka kwanini huwa wanaficha sura zao, we ukiwaangalia wale unaona ni waoga eti?Mbona kafunika uso. Muoga tu huyo hana lolote.
Mwanaume jasiri huwa halii ovyo kama huyo nyumbu wako.Unachoungumza ni sawa na kusema kwanini wale askari wa Hamas siku za kubadilishana mateka kwanini huwa wanaficha sura zao, we ukiwaangalia wale unaona ni waoga eti?
Kutana nao kwenye vita... yeye kujilipua haoni shida..
Hao jamaa wana roho ngumu hujapata kuona.
Usije kujidanganya kijana.. watu wapo serious sasa.. ukiona mwanaume anazungumza hadi analia ujue kuna jambo..
![]()
Ili iweje mbona police uoni askari Magereza wameficha sura kesi ya LissuMbona amejificha hivyo sasa? Si ajiweke wazi,
Mmmh.