soon itathibitika kuwa Messi na Ronaldo sio WAFUNGAJI...

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,871
mi nasema hivi Messi na Ronaldo si wanajishaua kuwa ni wafungaji wazuri??....
sasa Ramadhan hiyo hapo inakuja...ntawaona.

Wafungaji wa ukweli ni akina Samir Nasri, Yaya Toure, Demba Cisse, Demba Ba, Kolo Toure, Mzee Zidane, NIcolas Anelka, Ben Alfa, na wengine ambao hawaachi hata chungu kimoja...

Tena inapobidi na 6 wanafunga pia...
 
mkuu hebu fafanua vizuri mi binafsi cjaelewa ume maanisha nn. (chungu kimoja) hapo ndio kabisa umeniacha mkuu
 
mi nasema hivi Messi na Ronaldo si wanajishaua kuwa ni wafungaji wazuri??....
sasa Ramadhan hiyo hapo inakuja...ntawaona.

Wafungaji wa ukweli ni akina Samir Nasri, Yaya Toure, Demba Cisse, Demba Ba, Kolo Toure, Mzee Zidane, NIcolas Anelka, Ben Alfa, na wengine ambao hawaachi hata chungu kimoja...

Tena inapobidi na 6 wanafunga pia...

Maumivu ya kichwa huanza poole pole....
 
Nasikia harufu ya Udini na Ubongo wenye kutembelea Magongo.................
 
Duh kichaa si lazima aokote makopo.

mi nasema hivi Messi na Ronaldo si wanajishaua kuwa ni wafungaji wazuri??....
sasa Ramadhan hiyo hapo inakuja...ntawaona.

Wafungaji wa ukweli ni akina Samir Nasri, Yaya Toure, Demba Cisse, Demba Ba, Kolo Toure, Mzee Zidane, NIcolas Anelka, Ben Alfa, na wengine ambao hawaachi hata chungu kimoja...

Tena inapobidi na 6 wanafunga pia...
 
Nasikia harufu ya Udini na Ubongo wenye kutembelea Magongo.................

Sasa na wewe usiyeweza kabisa to read between the lines hata huo ubongo unao?

Au kichwa kimejaa uji wa dengu ndio maana kila kitu unakiona kwa macho ya udini?
 
Watu wengine bana.....mi nilijiandaa kusoma indepth analysis ya soccer stars kumbe jamaa ni shekh Yahya!!
 
JF ni home of Great Thinkers, kama mmeshindwa kuilewa thread basi mna matatizo vichwani.

Hii thread ni Sports bar Jokes.
Dah!! Matola ndugu yangu nahitaji kwenda Likizo hahahahahahaha dah!! Kwamba Ronaldo na Messi si wafungaji wa Ramadhani ila wafungaji wa kweli wa Ramadhani ni Samir Nasri, Yaya Toure, Demba Cisse, Demba Ba, Kolo Toure, Mzee Zidane, NIcolas Anelka, Ben Alfa...Jamaa ametisha sanaa...Nilishaanza kutoka povu bhanaaaa
 
Last edited by a moderator:
Bwa ha ha ha ha haa!Chombaa,wapo uliowachota humu ila mie umenikosa.kiswahili lugha ngumu sanaa!
 
Back
Top Bottom