October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Hizi tabiri zimeshakinaisha.Redcross kikosi kazi cha wazalendo ndani ya idara nyeti soon wanakuja na suprise takatifu. Walahi mwisho wa hawa wahuni umekaribia.
Kaeni mkao wa kula soon kuna mtu anapigwa za kichwa hehee. Nye Nye Nye. Kila mtu acheze sehenu yake. Hawa wajinga watepeta.
Huwezi amini ni kikundi hakizidi watu Mia. Jambo la kizalendo lile. Heheee! Ulalo ulalo. Wekeni rekodi sawa. Polepole huyoo. Na bado
HabilRedcross kikosi kazi cha wazalendo ndani ya idara nyeti soon wanakuja na suprise takatifu. Walahi mwisho wa hawa wahuni umekaribia.
Kaeni mkao wa kula soon kuna mtu anapigwa za kichwa hehee. Nye Nye Nye. Kila mtu acheze sehenu yake. Hawa wajinga watepeta.
Huwezi amini ni kikundi hakizidi watu Mia. Jambo la kizalendo lile. Heheee! Ulalo ulalo. Wekeni rekodi sawa. Polepole huyoo. Na bado
Nyooko. Kama huna la kusema, si ufunge hilo debe lako chawa mkubwa wee.Redcross kikosi kazi cha wazalendo ndani ya idara nyeti soon wanakuja na suprise takatifu. Walahi mwisho wa hawa wahuni umekaribia.
Kaeni mkao wa kula soon kuna mtu anapigwa za kichwa hehee. Nye Nye Nye. Kila mtu acheze sehenu yake. Hawa wajinga watepeta.
Huwezi amini ni kikundi hakizidi watu Mia. Jambo la kizalendo lile. Heheee! Ulalo ulalo. Wekeni rekodi sawa. Polepole huyoo. Na bado
Awamu hii kila mtu anapambana ki vyake, kila kona panachemkaHabil
And
Kabil😂
Fatilieni kuhusu Afya ya Mombo
Ni machawa bila shaka kama huyu anayewatumia kututishia nyauRed cross ni wakina nani?
msalaba mwekunduRed cross ni wakina nani?