William Ngotti
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 187
- 48
Naomba unifafanulie mkuukila unapogusa z2 ni bora kuliko A5 zipo level tofauti hizo simu
display- z2 ina full hd wakati a5 ni hd ya kawaida kioo cha z2 ni kizuri zaidiNaomba unifafanulie mkuu
Nimekuelewa kak asantedisplay- z2 ina full hd wakati a5 ni hd ya kawaida kioo cha z2 ni kizuri zaidi
SOC- z2 inatumia snapdragon 801 wakati a5 ni 410 hivyo z2 ina processor, gpu, modem, wifi nzuri compare na a5
battery- z2 inakaa zaidi na chaji
memory- z2 ina ram kubwa na storage sawa na a5
camera- z2 ina camera nzuri zaidi
kila sehemu z2 ni nzuri, z2 ilikuwa flagship ya mwaka 2014 wakati a5 ni simu ya hali ya chini hadi kati
note edge ni nzuri kuliko z3 ila pia itategemea na bei unayonunulia.Na je z3 Na Samsung galaxy note edge ipi ipi kiwango
bei tafuta wewe, ila kwa mimi nisingespend zaidi ya laki 7 kwa simu hioNashukuru sana chief kwa massa wako kwani bei nzuri kabisa ya note edge inaweza kuwa kiasi gaini? Msaada chief
Kuna simu ina mega pixel 535 au umekosea sababu sony wanayo 23mptatizo ya hiz xperia z... hazina camera nzuri bora hata za lumia 535mp kali kinoma kiujumla swala la cera sony kazingua
i mean lumia 535 ina camera ya 5mp kali kinomaKuna simu ina mega pixel 535 au umekosea sababu sony wanayo 23mp
Nashukuru sana chief kwa massa wako kwani bei nzuri kabisa ya note edge inaweza kuwa kiasi gaini? Msaada chief