Wadau natafuta mtu mwenye simu aina ya Sony Xperia Z1 ya dili, kiwango chanu ni 600,000 Tsh. Ni pm kama unayo ama unajua nitaweza ipata wapi.
Huogopi kufungwa??!
Wadau natafuta mtu mwenye simu aina ya Sony Xperia Z1 ya dili, kiwango chanu ni 600,000 Tsh. Ni pm kama unayo ama unajua nitaweza ipata wapi.
Nadhani una hamu ya kwenda kumsalimia Bw. Nguza Viking na mwanawe...safari njema-Wadau natafuta mtu mwenye simu aina ya Sony Xperia Z1 ya dili, kiwango chanu ni 600,000 Tsh. Ni pm kama unayo ama unajua nitaweza ipata wapi.
Nadhani una hamu ya kwenda kumsalimia Bw. Nguza Viking na mwanawe...safari njema-
Wadau natafuta mtu mwenye simu aina ya Sony Xperia Z1 ya dili, kiwango chanu ni 600,000 Tsh. Ni pm kama unayo ama unajua nitaweza ipata wapi.
Mkuu hizo mkononi zinasimama nane na nusu hii bei labda iphone 5 na blackberryz10
Sent from my iPhone using JamiiForums
HHHK
Hivi wewe Kapongo hujawahi kununua simu ya dili? Sio lazima iwe ya wizi jamani. Ebo!
Wacha kulainisha lugha,deal lazima iwe ni simu iliyopatikana isivyo halali.
Ni kinyume na sheria za nchi na pia sheria za Mungu
Kila la heri!!