Hoffman degradation Member Joined Jan 29, 2017 Posts 61 Reaction score 66 Jul 9, 2017 #1 Wajuzi wasimu wanisaidie ipi ni simu bomba kwa matumizi na imara zaidi kati ya sony xperia z1 na sumsung garaxy s8 ......... Msaada tafadhali........ Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
Wajuzi wasimu wanisaidie ipi ni simu bomba kwa matumizi na imara zaidi kati ya sony xperia z1 na sumsung garaxy s8 ......... Msaada tafadhali........ Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
PlayBoyMwema JF-Expert Member Joined Jul 27, 2014 Posts 1,716 Reaction score 1,842 Jul 9, 2017 #2 chukua samsung s8 mkuu iyo sony ya kitambo sana cjui hata kama inaweza ku upgrade system os to nougat
chukua samsung s8 mkuu iyo sony ya kitambo sana cjui hata kama inaweza ku upgrade system os to nougat
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,461 Reaction score 46,496 Jul 9, 2017 #3 mkuu samsung ni simu kali zaidi ya hiyo z1
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,744 Jul 9, 2017 #4 Usifananishe Samsung S8 na vitu vya ajabu
Secret Star JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,869 Reaction score 2,119 Jul 9, 2017 #5 Hahahaaa unafanya masikahara na S8! Uliza kati ya s8+ na i phone 7 ipi kali watu ndo wanaweza kuanza kuhangaika kutambua ipi kubwa!
Hahahaaa unafanya masikahara na S8! Uliza kati ya s8+ na i phone 7 ipi kali watu ndo wanaweza kuanza kuhangaika kutambua ipi kubwa!