Ayusema JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 549 Reaction score 189 Feb 5, 2014 #1 Mambo vp??? Ebwana simu tajwa hapo juu yahitajika urgently if unayo ni pm tufanye biashara..... Offer 300-400 depending na ipo katika hali gani
Mambo vp??? Ebwana simu tajwa hapo juu yahitajika urgently if unayo ni pm tufanye biashara..... Offer 300-400 depending na ipo katika hali gani
G golan Senior Member Joined May 8, 2013 Posts 175 Reaction score 6 Feb 5, 2014 #2 Ninayo nipigie 0714 674687
Nivea JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,771 Feb 5, 2014 #3 Sasa 300-400 si ndio bado kidogo tu ununue mpya kwa nini ununue used nduu yangu kama una hiyo hela
C craft Member Joined Nov 13, 2013 Posts 27 Reaction score 2 Feb 5, 2014 #4 Ushauri betri yake si nzuri sana...na ni ile ambayo huwezi toa
Ayusema JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 549 Reaction score 189 Feb 5, 2014 Thread starter #5 Nivea said: Sasa 300-400 si ndio bado kidogo tu ununue mpya kwa nini ununue used nduu yangu kama una hiyo hela Click to expand... Mpya sh ngapi Nivea??? thanx kwa advice yako i will work on it..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nivea said: Sasa 300-400 si ndio bado kidogo tu ununue mpya kwa nini ununue used nduu yangu kama una hiyo hela Click to expand... Mpya sh ngapi Nivea??? thanx kwa advice yako i will work on it.....