tafakari kali
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 211
- 39
Naomba msaada simu yangu aina ya sony xperia e3 kila napopiga simu display inakuwa dark (ina sleep) na nakuwa siwezi kukata simu au kufanya lolote hata kama hakuna kizuizi chochote karibu na sensor yake.
Pili nikimaliza kutumia simu haisleep (automatically) pamoja na kwamba nimeiseti sekunde 15 hadi niilazimishe kwa kubinya power button.
Tatu kuna ka-icon hakatoki kwenye screen na sikaelewi,kaliko kaa kama headset kabla ya minara ya network.
Mwenye ujuzi naomba msaada. Natanguliza shukrani zangu.