sony watoa tv/console ya bei rahisi

sony watoa tv/console ya bei rahisi

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,062
Reaction score
43,478
sasa hivi kuna mambo mengi kwenye ulimwengu wa technology na hasa hizi tv za online kama za apple, google na sasa sony.

ila zote hazijanivutia mpaka leo sony walipotangaza tv yao kidogo wamenivutia na kuamua kuandika habari hii. je kuna nini cha ziada kwenye tv hii?

1. ni console
Screen-Shot-2013-09-09-at-2.55.18-PM-645x351.png

tofauti na tv nyengine ambazo zimekaa kama flash hii imekaa kama game vile au umbo la deki ambayo itakaa sebuleni pamoja na dikoda za dstv, startimes, digitek, receiver ya mediatek na dvd (kama ghorofa vile).

humu utapata tv za online nyingi sony ametoa ahadi utapata tv nyingi kama vile za apple.

2. ni game
pamoja na kwamba ni tv lakini pia itasuport games za playstation one, playstation vita, na psp sony kasema game 1300 zipo tayari na nyengine zinakuja. haya magame sio makali kama ya ps4 au ps3 ila ni magame mazuri kwa watoto nyumban

3. remote play ps4
utacheza magame ya ps4 lakini hilo game halitakua hosted kwenye console yako. mfano unaweza eka adhoc na ukacheza na mwenzako mwenye ps4 game lenye multiplayer kama vile mpira

4. kutumia ui na apps za vita
kama unafatilia games za sony utajua kuwa ps vita sio game tu lina operating system na lina apps kama za facebook na linaplay youtube, sony wataeka vitu vyote hivi kwenye game lao hili so fb na youtube kwenye tv yako

5. bei
hapa ndio palinisisimua bei ni dola 95 tu (kama laki na 60) inamaana wakieka na faida bongo litauzwa 200,000 hadi 250,000.

niliiona xbox one kama ni nzuri kwa familia kwa kuwa na games pamoja na mambo ya kijamii ila sasa nimebadili mawazo baada ya kuona hii kitu. nafkiri hii console ni perfect kwa maisha ya kiafrica ukicompare na bidhaa nyengine zilizopo sokoni. nairecomend
 
...Ukisikia zimefika BONGO..
tukumbushane kwa thread au PM..
 
Chief salama?

Naomba Masada nilizima laptop ikiwa na low charge nilipowasha imegoma nikaweka Chaja ikagoma ata moto haipokei nimetoa betri na kurudisha ila imegoma
 
Chief naomba Masada wa kuweka tracking ya iPhone kwa security niweze kuitrck
 
Mkuu nayenyewe inaitwa PSVita? Maana nina game console ya psp aina ya psvita
 
Hii story nafikiri imetafsiriwa vibaya ndo maana wengine wanauliza HII TV NI NCHI NGAPI? Hiki ni kidude tuuu (TV OUT) ina maana unatumia kusukuma media kutoka hicho kidude kwenda TV. " Perhaps the biggest allure of the PS Vita TV is its capacity to remotely stream games from a PlayStation 4 on a shared local Wi-Fi network. With remote play, PS Vita TV promises to allow players to extend PS4 gameplay experiences to any room in their house, without having to move the console itself "
 
Back
Top Bottom