Sony music system for sale for just 650,000/=

Sony music system for sale for just 650,000/=

Ok. Here its goes...

Ndugu Mrbwire, hiyo ni redio ya kawaida kabisa ya Sony, na si music 'System' kama Sony wenyewe wanavyotaka kutuaminisha.
Music system ni vipande vipande kadhaa vya kujitegemea ambavyo hufanya kazi pamoja (as a system) ili kuleta 'one product'. Kwa kufafanua music system aghalabu huwa na components zifuatazo (independent units).
- Power Supply
- Amplifier
- Equalizer
- Cd/Dvd Player
- Radio Receiver (tuner)
- Cassette deck (siku hizi hawaweki)

Huo ndio mpangilio wa Music system ulivyo.
 
Last edited by a moderator:
Tuelezee basi ina WATS ngapi na speeker zake zina OHMS ngapi,some nyuma ndo vipimo vya ukweli vilipoandikwa,huko mbele ni za kibiashara zaidi
afu inaeza kuwa ndo sababu anauza ..alinunua kwa ajili ya umbo kubwa
..huku mbele unakuta kaandikiwa 5000w pmpo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom