Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,009
- 2,547
Unaweza ukaiwezesha kucheza flash na fm kama haina pia kuongeza power output japo itabidi ubadili spika.Kuna hii machine ya kitambo sana kichwa chake hiko kilizingua nikaiweka kando. Nataka kuifufua niinunulie kichwa chingine. Spika zake zote ziko vizuri
Au kama kuna namna ya kuunga spika zake na kichwa cha redio zingine nikapata ubora ule ule wa sauti. View attachment 2865349
Wezi wanakera sana utaelewa siku ukiibiwasony miaka hiyo walitisha sana, mwaka 2001 mzee alikuwa nayo kama hiyo(zimetofautiana kidogo sana) wezi wakapita nayo, mpaka leo katunza boksi 😁
Nishaibiwa naelewa wanakera sana wanarudisha nyuma maendeleoWezi wanakera sana utaelewa siku ukiibiwa
Ukiona mtu anampiga mwizi kwa hasira usimzuie acha amalizie hasira zake za kuibiwaNishaibiwa naelewa wanakera sana wanarudisha nyuma maendeleo
Kweli japo wanatia huruma sanaUkiona mtu anampiga mwizi kwa hasira usimzuie acha amalizie hasira zake za kuibiwa
Usimuonee huruma mwizi, yule akiingia kwako kuna mawili akuibie au akuue kabisaKweli japo wanatia huruma sana
Nmejifunza mkuu ama zangu ama zakeUsimuonee huruma mwizi, yule akiingia kwako kuna mawili akuibie au akuue kabisa
Kwa kifupi mwizi yoyote ni muuaji
Gawa ama tupa ununue mpya la toleo jipyaKuna hii machine ya kitambo sana kichwa chake hiko kilizingua nikaiweka kando. Nataka kuifufua niinunulie kichwa chingine. Spika zake zote ziko vizuri
Au kama kuna namna ya kuunga spika zake na kichwa cha redio zingine nikapata ubora ule ule wa sauti. View attachment 2865349