Chief ebu fafanua,miwani kivp?unless una plan ya kutumia miwani ya vr, vilivyobakia z2 ipo vizuri zaidi
lg g3 inaipita xperia z2 kwenye resolution ya kioo tu, mambo mengine either wapo sawa au z2 ni nzuri zaidi.Chief ebu fafanua,miwani kivp?
Ahsante chief kwa ufafanuzi,lg g3 ndio cmu ninayoitumia kwa ss,baada ya samsung s5,kwa matumizi ya kawaida naiona ina tofauti ndogo tu na samsung s5lg g3 inaipita xperia z2 kwenye resolution ya kioo tu, mambo mengine either wapo sawa au z2 ni nzuri zaidi.
Ahsante chief kwa ufafanuzi,lg g3 ndio cmu ninayoitumia kwa ss,baada ya samsung s5,kwa matumizi ya kawaida naiona ina tofauti ndogo tu na samsung s5
Interest yangu ni kwenye chaji mkuu ipi inajitahidi?s5, z2 na lg g3 zote ni flagship za 2014, zote zinatumia soc moja ya snapdragon 801 hivyo ina maana
-zina cpu sawa
-gpu sawa
-wifi sawa
-aina za ram sawa
-modem sawa etc
zinatofautiana mambo madogo madogo kama camera, ukaaji chaji, uzuri wa kioo na maumbo ya nje
Interest yangu ni kwenye chaji mkuu ipi inajitahidi?