Sony experia sp for sell

Sony experia sp for sell

AK 1

Senior Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
170
Reaction score
13
Ni mpya na original

ram 1gb
int mem 8
camera 8mp
betre ipo vzr
screen 4.6

only 380k
 
Attachments

  • Sony 2.jpg
    Sony 2.jpg
    55.4 KB · Views: 217
  • Sony 1.jpg
    Sony 1.jpg
    89.3 KB · Views: 194
Aisee 380,000/=!!!!!hyo ndo bei ya kioo cha sony xperia mdau,na bai halali ni 400,000/= ya kioo(screen)
 
Unawez ukaongeza km unahs ni ndogo ntashukuru tu.....yn unafny unajua sim kuliko mnunuaj hahaaa embu fany research kwanza baaaaana
 
Hahahaha fasouls ahsante kwa kunisaidia maana dah ni shidah
 
hujui ulitamkalo nimekusame tu bure siwez jibishana na mtu amby hna wisdom ....unabht wamektza link humu ningekuumbua ungehm na jf..ndo mana mnaibiwa nan ksm ukubwa wa bei ndo ubora wa kitu poor
 
@AK1 una back cover yake?nimetafuta hadi nimechoka
 
hujui ulitamkalo nimekusame tu bure siwez jibishana na mtu amby hna wisdom ....unabht wamektza link humu ningekuumbua ungehm na jf..ndo mana mnaibiwa nan ksm ukubwa wa bei ndo ubora wa kitu poor
Hongera,kipimo cha busara zako kinaonekana kwa maandish yako
 
Maelezo ya muuzaji yanajieleza Munawar,

yanajielezaje umetumwa na mashetan ww si bure ubaanzaje kujudge kitu ambacho hujaja hata kukiona ungekuwa mstaharab ungekuj ungeona ndo ujue km ni fake or what ... ur such an ign.. sana eti its fake kama huna hela kaa pemben weny hela wachukue ... anyway sikuhtaj hapa kweny posts zangu isije hyo sheria ikahusika mana mnauzi mpaka unataman uongee kitu ...unazan kuccoment ndo umature au ... huna ushahd unaropoka tu .. mbna imenunuliwa tyr na mtu wa hukuhuku wanakuchora tu ... mind your own businesses
 
Last edited by a moderator:

Kwani vitu fake havinunuliki?
 
Kwani vitu fake havinunuliki?

kiukweli mkoroshokigoli unamambo yaajabu yn ningekuwa mm ni adm ningekufungia how comes unakuja kweny biashara ya mtu na kutoa judgment zako ambazo hazina ushahid hv watz tukoje jaman akiamua kua serious na kukwambia toa ushahid ... yan ur judgng a product by amount kweli umesoma kweli ww realy na wasiwasi .... thts not fair na aliyepost umemkut anabusara otherwise ungekula maneno yako sio lazim ucomment ndo uonekn maridadi ,,, acha kuongea mambo yako yasio na maana km huna la kusem better mute
 
Mbona mmepaniki sana? hilda266 wewe ndio umesoma?hongera sana kwa elimu uliyoipata kama kusoma ndio huko simlaumu mtu kwa kutosoma. Nikuulize swali dogo tu unapimaje elimu ya mtu?Nenda kasome consumer behavior utaelewa nachomaanisha kwenye uzi huu,vinginevyo wewe na hao madogo wenzio mtakua mnabwatabwata tu hapa.Kutosoma kwangu hakunizuii kutofanya analysis kwenye manunuzi au window shopping
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom