wataalam naomba msaada wa haraka nina sony ericsson k800i ambayo kabla ya kuiflsh nilikuwa napata internet vizuri lkn baada ya hapo nikijaribu ku-google kitu chochote inasearch kwa muda mrefu kisha inaniandikia device management error niliwapigia voda setting ikaja na nikaisevu lkn hakuna msaada pls help