Are you or just a quote from the so-called Q......???? "Show forgiveness, speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
If you are, Please re-call when did Mr. Mkapa speak of constructing a "DOMESTIC AIRPORT", Can you produce the international airport re-designing or drawings other than the initial design?
Anyway, always your short minded and thinking foxy views are known even before uttered.
Look at her!!!
PCCB, National Audit, NSSF, etc (Government offices) zinajenga very big buildings mikoa mingine bt guess what they build for mbeya... Despite all the tireless efforts by Mr. Mwakipesile to convince NSSF invest in mbeya, they ended up building a single floor house in the CBD!!
No where did I say Mkapa uttered "Domestic Airport". I clearly gave examples as to what happened during his tenure, "Rada" and "Ndege" ya Rais (to add a few, "EPA", "twin towers", "nyumba za Serikali") huge amounts of money spent irrelevantly for substandard products. Similarly it was for Mbeya Airport, the "International" as "Rada" was, what did you expect for the Airport?
The construction company was stopped, not only for the Airport but also for Mbeya - Chunya road. The Airport was redrawn, believe it or not and now it will be a total different from what was wrongly started during Mkapa's.
"haya Kwa ndege za shirika gani hizo zitatua songwe? Mizigo tani ngapi ya hayo mazao itasafirishwa kupitia huo uwanja.? Wananchi% ngapi wana uwezo wa gharama za kupaa"
Kweli akutukanae hakuchagulii tusi yaani mbeya hamna mizigo ya kubeba?matunda na maua sio mizigo
Kama kila siku kuna mabasi zaidi ya 15 yanatoka mbeya kwenda DSM wengi wao wakiwa wafanya biashara leave alone mataifa ya jirani malawi,burundi,zambia,DRC wafanyabiashara wake hupitia mbeya kwenda DSM.
Nadhani Mbeya unaisikia tuu kwa watu.Watu wameshajitwalia maeneo ya kupanda maua,kuna mzungu anasambaza miche ya miparachichi ili bidae awe mnunuzi.TBL na MBEYA cement wanakuwaga na delegates kibao kwenda tembelea ivyo viwanda.
ndugu yangu sipend ulalamike nachukua nguvu na andaa ubongo wako ufunguke,ni kwamba kwa riftvalley regions kama mbeya so place ya kujenga majengo marefu kutokana na sheria za kimataifa za great riftvalley ni kwamba kutokana na technology ambayo inatumika na ujenz wa majengo hapa nchini mbeya hatupend izidi ghorofa nne,na kama unajipya lingine kuhusu mbeya weka...
Acha mambo yako hayo kijana, nyie ndio mnaorudisha nyuma maendeleo ya mbeya... Provide source ya hayo unayoyasema. Wajenzi wa mbeya wote wanaamini kama wewe kwa kutumia hearsay!! Mwananchi News walifanya research and they found no evidence... let me look for it i will post it here. Badilika now, it begins with u!
Umesoma hiyo link au umejibu tu?! Hebu soma hiyo habari ya kiuchunguzi ya gazeti la mwananchi ndo utaelewaMbeya ni eneo lililoko kwenye bonde la ufa, hivyo matetemeko yako sana eneo hilo na ndiyo maana hawajengi ghorofa ndefu
Nakubaliana nawe mkuu kwa mfano kuna sababu gani ya kujenga bandari bagamoyo ukaacha kujenga bandari mtwara? Kama tukiacha ubinafsi mbeya, mwanza, Arusha na mtwara zinahitaji msukumo mkubwa kama tunataka kutumia fursa za kibiashara.Ingekuwa hivyo tayari kungekuwa na barabara na viwanja vya ndege. Kuna maeneo yanasemekana kuwa economically viable lakini sio, na kuna maeneo ni economically viable lakini yanapuuzwa, kuna maeneo ambayo sio economically viable lakini yanapewa umuhimu mkubwa kutokana na sababu za kisiasa na kidini.
It is a fact that given their geagraphical locations Mwanza, Mbeya, Arusha na Mtwara zinatakiwa kupewa msukumo zaidi wa kimaendeleo ili zichangie zaidi maendeleo ya Tanzania, ni uzembe tu katika mipango na utekelezaji.
Kweli wewe ni mbumbumbu hujui hata umuhimu wa uwanja wa ndege! kwanini wasijenge reli zaidi pia ktk miji ya dar, mwanza na arusha?mi naona wangeweka priority kujenga reli kwasababu ndio usafiri ambao watanzania wengi wanaweza ku afford.sio kujenga mi airport alafu wanatumia wao tu.
Acha stori za vijiweni nilizokuwa nazisikia enzi zile nilipokuwa mtoto. Kama unaifahamu mbeya vizuri niambie ni lini ulisikia tetemeko walau limevunja hata vioo vya madirishani? Dar ambayo haiko bonde la ufa mbona nilishuhudia tetemeko lililokimbiza watu maghorofani na hata baadhi ya vioo vikavunjika. Hebu fikiria Manila jiji kubwa la Philippines lina maghorofa marefu kuliko hata Johanesberg na Cairo lakini liko ktk ukanda unaitwa Pacific Ring of Fire, eneo ambalo ndilo linaloshuhudia matetemeko makubwa ya mara kwa mara duniani. Inakuwaje mbeya ishindikane? Hata hivyo zamani kulikuwa hakuna kabisa majengo marefu lakini mbona ghorofa zinaanza kuongezeka japo sio ndefu sana na hakuna anayezuia ujenzi huo?Mbeya ni eneo lililoko kwenye bonde la ufa, hivyo matetemeko yako sana eneo hilo na ndiyo maana hawajengi ghorofa ndefu
Nimechoka kuwaelimisha mnaotudanganya, jaribu kuthibitisha unachoongelea kwa kuangalia miji mingine iliyokwenye riftvalley e.g Addis Ababa huko Ethopia, Massawa na Asmara huko Eritrea, Port Sudan huko sudan na Hebron na Jericho huko Palestina. ukishaangalia jiulize ni kwanini majengo kama hayo yasijengwe mbeya? na kama ishu ni technolojia kwanini wasiimport hiyo technology kama nchi ka Eritrea inaweza?ndugu yangu sipend ulalamike nachukua nguvu na andaa ubongo wako ufunguke,ni kwamba kwa riftvalley regions kama mbeya so place ya kujenga majengo marefu kutokana na sheria za kimataifa za great riftvalley ni kwamba kutokana na technology ambayo inatumika na ujenz wa majengo hapa nchini mbeya hatupend izidi ghorofa nne,na kama unajipya lingine kuhusu mbeya weka...
Usitudanganye, aliyetaka kuifanya domestic airport ni kikwete na mwenzake Lowassa kwa lengo la kuwakomoa wabunge wengi wa mbeya maana walikuwa wapinzani wa mtandao. Kikwete baada ya kuvuruga program ya big international airport kujengwa mbeya akagundua ametengeneza bomu na dalili zikawa ni yeye kupigwa mawe katika mazingira ambayo mpaka leo wameshindwa kujua nani alipanga mpango huo, ili kuwafool watu wa mbeya akaja na program ya uwanja kwa ajili ya kuimarisha utalii ndio akaendeleza palepale ulipokuwa unajengwa wa kwanza ili watu wajue program inaendelea. Lakini kwa taarifa ni kuwa kinachojengwa ni uwanja sawa na utakaojengwa Dodoma na Arusha kwa ajili ya kuimarisha utalii.No where did I say Mkapa uttered "Domestic Airport". I clearly gave examples as to what happened during his tenure, "Rada" and "Ndege" ya Rais (to add a few, "EPA", "twin towers", "nyumba za Serikali") huge amounts of money spent irrelevantly for substandard products. Similarly it was for Mbeya Airport, the "International" as "Rada" was, what did you expect for the Airport?
The construction company was stopped, not only for the Airport but also for Mbeya - Chunya road. The Airport was redrawn, believe it or not and now it will be a total different from what was wrongly started during Mkapa's.
Huu uwanja Wa Mbeya bado haujatumika ipasavyo kukuza uchumi Wa nchi kutokana na kutumika name ndege chache za abilia tena za ndani.