Chief Masta Member Joined Feb 5, 2022 Posts 11 Reaction score 23 Apr 20, 2022 #1 Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni?
Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni?
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 15,905 Reaction score 15,675 Apr 20, 2022 #2 Chief Masta said: Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni? Click to expand... Sijui kwa kweli
Chief Masta said: Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni? Click to expand... Sijui kwa kweli
cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,118 Reaction score 1,805 Apr 20, 2022 #3 Chief Masta said: Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni? Click to expand... ilisajiliwa kwa taarifa za nan hapo awali? taarifa zako au taarifa za mtu mwingine?
Chief Masta said: Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni? Click to expand... ilisajiliwa kwa taarifa za nan hapo awali? taarifa zako au taarifa za mtu mwingine?
Sarikiaeli JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 971 Reaction score 1,606 Apr 20, 2022 #4 Chief Masta said: Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni? Click to expand... Kwa nini uchukue simu namba ya MTU mwingine ? Tafuta yako !
Chief Masta said: Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni? Click to expand... Kwa nini uchukue simu namba ya MTU mwingine ? Tafuta yako !
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,734 Reaction score 10,345 Apr 20, 2022 #5 Chief Masta said: Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni? Click to expand... Piga 100 kwa maelekezo zaidi.
Chief Masta said: Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni? Click to expand... Piga 100 kwa maelekezo zaidi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,104 Apr 20, 2022 #6 waulize wahusika
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,243 Reaction score 11,421 Apr 20, 2022 #7 Jamaangu acha ujanja ujanja lipa deni la watu
Dexta JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 2,304 Reaction score 5,754 Apr 20, 2022 #8 Watu wengine banah...Basi tu Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Kilimbatz JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 4,331 Reaction score 5,866 Apr 20, 2022 #9 Lipa deni wewe,nyie ndiyo mnafanya wengine tusipewe mikopo