Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,195 Dec 24, 2019 #21 Retired said: Jamani hii kitu inaitwa Songesha nini nini na inafanyaje kazi? Maana wao hawaaminiki maelezo yao siyaamini, haya makampuni ya simu ni wezi! Click to expand... Vodacom ni Wezi na wapuuzi sana,wanaweka tuzo point,unafanya miamala ya zaidi ya milioni 2 kisha unakuja kupewa tuzo point 2000 ambazo haizidi hata Tsh 150.
Retired said: Jamani hii kitu inaitwa Songesha nini nini na inafanyaje kazi? Maana wao hawaaminiki maelezo yao siyaamini, haya makampuni ya simu ni wezi! Click to expand... Vodacom ni Wezi na wapuuzi sana,wanaweka tuzo point,unafanya miamala ya zaidi ya milioni 2 kisha unakuja kupewa tuzo point 2000 ambazo haizidi hata Tsh 150.
t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,149 Reaction score 17,046 Dec 24, 2019 #22 digba sowey said: Wachangiaji wa uzi huu wengi ni wakipato chini,yaani ntu awaza elfu tano apate elfu 20? Duh! ,pole zenu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dunia haiko Sawa! Hilo lielewe kabla ya chochote,! Kama maskini wanajadiliana we Tajiri unafata nn? Next time ukiona uko juuu ya kitu flan au idea, ni bora kukaa kimya kuliko kutoa maneno ya kejeli Umeniudhi Sana kwa madharau yako, Sent using Jamii Forums mobile app
digba sowey said: Wachangiaji wa uzi huu wengi ni wakipato chini,yaani ntu awaza elfu tano apate elfu 20? Duh! ,pole zenu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dunia haiko Sawa! Hilo lielewe kabla ya chochote,! Kama maskini wanajadiliana we Tajiri unafata nn? Next time ukiona uko juuu ya kitu flan au idea, ni bora kukaa kimya kuliko kutoa maneno ya kejeli Umeniudhi Sana kwa madharau yako, Sent using Jamii Forums mobile app
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 12,055 Reaction score 28,499 Dec 24, 2019 #23 Retired said: Jamani hii kitu inaitwa Songesha nini nini na inafanyaje kazi? Maana wao hawaaminiki maelezo yao siyaamini, haya makampuni ya simu ni wezi! Click to expand... Hadi kapampun ya simu huyaamini utakuwa una kilema kichwani sio bure kila siku kulalamika kama mjane USSR Sent using Jamii Forums mobile app
Retired said: Jamani hii kitu inaitwa Songesha nini nini na inafanyaje kazi? Maana wao hawaaminiki maelezo yao siyaamini, haya makampuni ya simu ni wezi! Click to expand... Hadi kapampun ya simu huyaamini utakuwa una kilema kichwani sio bure kila siku kulalamika kama mjane USSR Sent using Jamii Forums mobile app
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,220 Reaction score 102,333 Dec 25, 2019 Thread starter #24 USSR said: Hadi kapampun ya simu huyaamini utakuwa una kilema kichwani sio bure kila siku kulalamika kama mjane USSR Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... kamuuloize mama yako kama nashindwa kazi kwa ajili ya kilema kichwani, she has a good analysis of me!
USSR said: Hadi kapampun ya simu huyaamini utakuwa una kilema kichwani sio bure kila siku kulalamika kama mjane USSR Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... kamuuloize mama yako kama nashindwa kazi kwa ajili ya kilema kichwani, she has a good analysis of me!