Polis wa songea wameamua kuonyesha uma wa watz kuwa serikal ya tz sio legelege kama wengi wanavyoisema. Askar wanaonyesha ukakamavu na uimara wa serikali iliyopo madarakan. Nguvu wanayo, uwezo wanao vitendea kazi wanavyo na kizuri zaidi amri wanayo. Semeni tena serikali legelege muone uimara wake.
hawa watu bado sielewi kabisa kazi yao inasemekana kuwa wao ni wenyeviti wa kamati ulinzi na usalama wa mkoa husika lakini fuatilia ni mkoa gani mkuu wake akatekeleza majukumu yake ipasavyomkuu wa mkoa nina mashaka naye..anashidwaje kuweka hali sawa? ingekuwa mbeya ingebidi wamtafute sugu
hivi Baba MwanaAsha akiwa kama Amiri Jeshi mkuu, anatoa maagizo gani kwa hawa askari ambao wanakua wanaua na kunyanyasa raia ambao wapo katika harakati za kudai haki zao???[/
QUOTE]
Polisi wa Tanzania 95% matokeo yao ya form four ni sawa na ya Mwanaasha Jakaya Kikwete...so what do you expect toka kwa mkuu wa kaya!!!!?
Wewe ulipata Div. gani kama siyo 0 wacha kusema Polisi wengi ni Div IV
Kwani ni uongo? Narudia tena wengi wao (90%) ni Division IVWewe ulipata Div. gani kama siyo 0 wacha kusema Polisi wengi ni Div IV
Natabiri Sumbawanga,Shinyanga na Singida nao WATAAMKA SIKU MOJA!
Revolution inaanzia Mikoa ya juu na kuja kumalizika Magogoni, Kazi ianze kuwafukuza hawa wapumbavu
Hii post inanikumbusha mpuuzi mmoja alikuwa akijisivu kuwa yeye ni mwanaume wa shoka ana nguvu na sababu kubwa ni kuwa na uwezo wa kumpiga mkewe. Ila likija suala la kumhudumia kama chakula bora mavazi malazi na unyumba alikuwa hana uwezo huo.
Watu husema uimara si kupiga bali kuwa na uwezo wa kumridhisha mkeo. Tukija kwenye serikali, uimara wake si kuua au kuonesha kuwa una nguvu, hilo tunalijua kuwa lipo kwenye katiba, ulegelege unaoongelewa ni wa kuendeleza nchi na kukomboa na kukabiliana na changamoto zinazorudisha nyuma uchumi.
Tabora unataka tuamke marangapi mdau?Si mwaka jana tu wametupiga risasi hao hao polisi huku Urambo na wakamuweka ndani muheshimiwa Sakaya na wenzake kwenye ile ishu ya wizi wa ng'ombe unaofanywa na maliasili?Au mpaka tufe kumi ndiyo mtajua tumeamka?Mkuu, usisahau lindi, mtwara, tabora,.
Akihojiwa na radio moja inayorusha matangazo yake hapa Songea kiongozi mmoja wa ngazi ya juu katika jeshi la polisi hapa mkoani alisema maandamano yaliyofanyika jana hapa mjini yameshinikizwa na vyama vya siasa na wanaharakati. Huku akishindwa kusema ni chama gani kilichoshinikiza maandamano hayo ambayo yeye anayaita vurugu.
Aliongeza kusema kuwa wanasiasa na wanaharakati hao waliwahonga watu pesa ili waandamane. Alipoulizwa anauhakika gani na hilo akasema hizo ni taarifa za kiinterejensi. Alipoulizwa kuhusu polisi kutumia nguvu zaidi katika kupambana na waandamanaji yeye alisema inapobidi nguvu lazima zitumike, lakini itaundwa tume ya kuchunguza mauaji hayo.
mkuu unakarika tuu ukweli wenyewe ndo huo mkuu!Wewe ulipata Div. gani kama siyo 0 wacha kusema Polisi wengi ni Div IV
Serikali ya mkoa iingilie kati na kuzima matumizi ya nguvu. Busara itumike zaidi.