princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,355
ahsanteNgoja niuchek but muda ukienda just chek www.tubidy.com unaweza download hapo
nashangaa nauona kama pdf[emoji15]Nikutumieje
yupokipaji hiki sikisikii siku hizi! nini kimemkuta mwanadada huyu
weka hapa niuone jamaniGrace Matata ana wimbo mwingine unaitwa "wimbo" daah acha kabisa
Oops!!nashindwa kuuweka hapa mkuu na nimejaribu kwenye pm napo naona yaleyaleweka hapa niuone jamani
nampenda grace
jamaniOops!!nashindwa kuuweka hapa mkuu na nimejaribu kwenye pm napo naona yaleyale
Nielekeze jinsi ya ku upload hapa jamvinijamani
chelea man toka tip top connectionMsaada: naomba kujua Ni Nani aliimba huu wimbo ulikuwa classic enzi hizo
" naomba nipende kama nilivyo mi msela ...usiniache"
chelea man-usiniache..Msaada: naomba kujua Ni Nani aliimba huu wimbo ulikuwa classic enzi hizo
" naomba nipende kama nilivyo mi msela ...usiniache"
Mkuu umenigusa pabaya sana! Jumbe jaman aliimba humu. nimejaribu kuutafuta sana, sijaupata asee!kuna wimbo unaimbwa "siri ya niniii, .... anajuaa, siri yanii nin faida yake...., siri ya mapenzi siri ooh ... mapenzi ya sirii....." naupenda sana na nimeutafuta muda mrefu nimeukosa, mwenye nao naomba anisaidie aupost hapa