Haya, kwa kheri Alex Song, soka kwisha kabisa -wapo wapi Alexander Hleb, Mathieu Flamini, Cesc Fabregas, tunasubiri RVP 2014 itakuwaje
Hahahahahahaahha! Vikombe vya Upako! Aliyetiol kwa vikombe ni RVP peke yake hao wengine kazi wamefanyiwa, nambie Song amecheza game ngapi, Flamin na hata Cesc? Kama ni Hleb basi alipata Carling cup akiwa na Birminghammkuu hao ulitaja wote isipokuwa Alexandra Hleb wamepata mafanikio/vikombe kwenye vilabu walivyoenda. Wangekuwa pale Arsenal wangekuwa hawana hata kombe la mbuzi!
Haya, kwa kheri Alex Song, soka kwisha kabisa -wapo wapi Alexander Hleb, Mathieu Flamini, Cesc Fabregas, tunasubiri RVP 2014 itakuwaje