Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,167
- Thread starter
-
- #41
Ukitembea sehemu mbalimbali Tanzania pia utaona bendera za CCM zinapepea kwenye nyumba nyingi ,magari mengi nimeyaona yakiwa na bendera na nembo za CCM, ofisi nyingi zina picha ya Mh.Rais,huu wote sio uzalendo kwako?
Marekani Kuna Viongozi na si Watawala hata kama hawapendwi na Wote.Kwani unadhani Marekani kila raia anakubaliana na viongozi waliopo madarakani?
Taaratibu Ni zile zile bendera zinauzwa kwenye maduka ya bohariHii Mada Ya Kuonyesha Uzalendo Kwa Kupeperusha Bendera Imenikaa Kwa Kweli.,,,,,,,wakuu Niombe Kuuliza Hivi Ikitokea Umeamua Kumiliki Bendera Yako Kiuzalendo ,,Taratibu Za Kuipandisha Na Kuishua Kila Siku Zitakuwa Ni Zile Zile Za Kupuliza Filimbi Ili Watu Wapitao Karibu Na Makazi Yako Wasimame Au Waweza Kuishusha Kiholela Tuu,,,,,, Halafu Nipende Kujuzwa Bei Ya Bendera 1 Na Mahali Pa Kuipata Hata Kama Ni Kwa Kufuata Taratibu
Chini ya Utawala wa huyu dikteta wa Kihutu jaribu sasa kupeperusha bendera kama hivyo hapa Tanzania kama hutapewa kesi ya kujaribu KUMPINDUA Maguzijuto...cheza na akili matope ya kijani wewe!Kwangu elimu haina darasa. Elimu haina kuhitimu wala wahitimu. Elimu ni jambo endelevu.
Moja ya elimu yangu ninayojivunia ni fursa niliyoipata ya kuweza kutembelea sehemu mbalimbali hapa duniani. Na si kutembelea tu, bali hata kuishi na kufanya kazi.
Kati ya somo nililoweza kujifunza ni hili la kitu kinachoitwa uzalendo.
Uzalendo huu nauzungumzia katika muktadha wa nchi mbili: Tanzania na Marekani.
Kwa yeyote ambaye kaishi Marekani na Tanzania kwa muda wa kutosha [fanya makadirio yako mwenyewe muda wa kutosha ni kiasi gani], atakubaliana na mimi kuwa Wamarekani wapo kwenye kiwango kingine kabisa katika kuonyesha fahari ya uzalendo kwa nchi yao.
Katika utaifa wa kisasa, bendera huwa ndo alama bainishi ya nchi/ taifa.
Wamarekani wengi, bila kujali wanatoka kwenye kada ipi, ni watu wanaolipenda kwelikweli taifa lao.
Na mapenzi hayo huonyeshwa na vile ambavyo hupenda kupeperusha bendera ya taifa lao.
Iwe ni kwa watu wenye kipato cha chini, cha kati, cha juu na kadhalika, uzalendo wao huonyeshwa na vile wanavyopeperusha bendera yao kwenye makazi yao, kwenye magari yao, sehemu zao za kazi na biashara, na kadhalika.
Ona mfano huu kwa mfano. Kwa muonekano tu wa mazingira, hapo panaonekana ni eneo la watu wenye kujiweza.
View attachment 1149927
Sasa hebu angalia na hii. Kwa muonekano tu unaweza kuhitimisha kuwa aishiye hapo si mtu wa kipato kikubwa. Ni ki trailer tu kilichojichokea.
View attachment 1149929
Sasa jiulize ni kitu gani hapo unachokiona kilichopo kwenye picha zote mbili? Ni bendera!
Uzalendo wa hivi bado sijauona Tanzania. Sababu hasa sijui ni ipi.
Hivi kwa mfano nikiamua kuweka kamlingoti kadogo nyumbani kwangu halafu nipeperushe bendera yetu ya Tanzania, nitasumbuliwa na watu wasiojulikana licha ya kwamba lengo langu la kufanya hivyo ni uzalendo?
Hili suala la bendera na uzalendo Mzee Mwanakijiji aliwahi kulidokeza siku za hapo nyuma.
Ganyana ebhe nang'ho! Galusindo gambhehi!Bhe nang’ho ka lekaga shi amakelege gako.
Ganyana ebhe nang'ho! Galusindo gambhehi!
Kwangu elimu haina darasa. Elimu haina kuhitimu wala wahitimu. Elimu ni jambo endelevu.
Moja ya elimu yangu ninayojivunia ni fursa niliyoipata ya kuweza kutembelea sehemu mbalimbali hapa duniani. Na si kutembelea tu, bali hata kuishi na kufanya kazi.
Kati ya somo nililoweza kujifunza ni hili la kitu kinachoitwa uzalendo.
Uzalendo huu nauzungumzia katika muktadha wa nchi mbili: Tanzania na Marekani.
Kwa yeyote ambaye kaishi Marekani na Tanzania kwa muda wa kutosha [fanya makadirio yako mwenyewe muda wa kutosha ni kiasi gani], atakubaliana na mimi kuwa Wamarekani wapo kwenye kiwango kingine kabisa katika kuonyesha fahari ya uzalendo kwa nchi yao.
Katika utaifa wa kisasa, bendera huwa ndo alama bainishi ya nchi/ taifa.
Wamarekani wengi, bila kujali wanatoka kwenye kada ipi, ni watu wanaolipenda kwelikweli taifa lao.
Na mapenzi hayo huonyeshwa na vile ambavyo hupenda kupeperusha bendera ya taifa lao.
Iwe ni kwa watu wenye kipato cha chini, cha kati, cha juu na kadhalika, uzalendo wao huonyeshwa na vile wanavyopeperusha bendera yao kwenye makazi yao, kwenye magari yao, sehemu zao za kazi na biashara, na kadhalika.
Ona mfano huu kwa mfano. Kwa muonekano tu wa mazingira, hapo panaonekana ni eneo la watu wenye kujiweza.
View attachment 1149927
Sasa hebu angalia na hii. Kwa muonekano tu unaweza kuhitimisha kuwa aishiye hapo si mtu wa kipato kikubwa. Ni ki trailer tu kilichojichokea.
View attachment 1149929
Sasa jiulize ni kitu gani hapo unachokiona kilichopo kwenye picha zote mbili? Ni bendera!
Uzalendo wa hivi bado sijauona Tanzania. Sababu hasa sijui ni ipi.
Hivi kwa mfano nikiamua kuweka kamlingoti kadogo nyumbani kwangu halafu nipeperushe bendera yetu ya Tanzania, nitasumbuliwa na watu wasiojulikana licha ya kwamba lengo langu la kufanya hivyo ni uzalendo?
Hili suala la bendera na uzalendo Mzee Mwanakijiji aliwahi kulidokeza siku za hapo nyuma.
Wakati wa pambano la Mayweather and Mcgregor watu waliacha kupeperusha bendera ya Marekani na kupeperusha ile ya jamhuri ya Ireland, hapo utaona unafiki wa uzalendo wa bendera.atakubaliana na mimi kuwa Wamarekani wapo kwenye kiwango kingine kabisa katika kuonyesha fahari ya uzalendo kwa nchi yao.