Hata warundi huwa wako na unyenyekevu wa namna hii ila akipata cheo nilikutana na vijana wa kirundi wanakuja mpaka wanakupigia magoti ila ukiwazingua umeisha.
Nyie watu wajinga ndio hamjui hata namna ya kuishi , pindi fweza ya ghafla ikikuangukia au cheo ikubwa unapokipata.
Hamuishi kujikweza na kudharau wengine walio chini au juu yako.
Ccm chama chetu kimeshindwa kujinyenyekeza Kwa wananchi Kwa kuwachukulia hatua wezi,wabadhirifu wa fedha za umma ndio tulete maigizo Kwa kupigiana magoti Bungeni!!?