mtaftaukweli1
Member
- Sep 21, 2012
- 27
- 1
We mwenyewe kilaza wa hesabu. Solve for y: 5y= 2y+x
We mwenyewe kilaza wa hesabu. Solve for y: 5y= 2y+x
Serikali haina nia ya dhati ya kuinua hili somo,
Kama darasa la saba wamewekea "multiple choice" basi tutegemee msiba zaidi kwenye hili somo
We mwenyewe kilaza wa hesabu. Solve for y: 5y= 2y+x
Serikali haina nia ya dhati ya kuinua hili somo,
Kama darasa la saba wamewekea "multiple choice" basi tutegemee msiba zaidi kwenye hili somo
Wewe vipi? Insoluble! Two unknowns one equation. Kajipange upya!
wao hawajali nyie mnaenda wapi wanajaribu kupunguza gharama na kurahisisha zoez la usahihishaji kulingana na system mpya ya computerizing
serikali sasa lazma iweke mikakati ya makusudi ili kuhakikisha somo la hisabati lina taftiwa usfumbuzi,
wanafunzi wana lalamika kuwa somo eti ni gumu,mi nazan sekari kupitia wizara hucka watafte tiba maana hali ni
mbaya ,takwim zinaonesha kati ya masomo yanayo ongoza kwa wanafunzi kufell ni somo la hesabu primary na hata sekondary lakini pamoja na takwimu hizo hakuna mikakati maalumu .
Uamuzi kama huu hauna tofauti na ule wa kupandisha bei ya mafuta ya taa ili kuwarahisihia matajiri wasichakachue petrol na Diesel,
But hawakujali wananchi wa kijijini wanaotumia haya mafuta ya taa watateseka vipi!!!!!!
2. 'gene' inheritance wazaz hawakuipenda hesabu how coms mtoto apende
aim:
Hapo mbona sijakuelewa embu fafanua kama ukiweza, kuna uhusiano gani kati ya genetic inheritance na mtoto kupenda Hesabu?