somo halieleweki

somo halieleweki

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,252
hii itakwisha lini? huku wakati huu ni moshi
 
Attachments

  • S7300021.JPG
    S7300021.JPG
    26.1 KB · Views: 567
  • S7300024.JPG
    S7300024.JPG
    22.4 KB · Views: 542
Mi naona powa tu. Usipochukuaga hayo mafuta si yanaenda kumwagika ardhini. Total loss. Kama wanayavuna na kuyahifadhi mi naona fresh tatizo tu ni safety.
 
Mi naona powa tu. Usipochukuaga hayo mafuta si yanaenda kumwagika ardhini. Total loss. Kama wanayavuna na kuyahifadhi mi naona fresh tatizo tu ni safety.

poa kweli wakitoka salama. Ila watu wa moshi wajanja
 
wajitahidi ila wawe waangalifu wengi wameishia hapo.
 
Sasa kama wakiyaacha hayo mafuta ambayo yamepatikana kwa gharama kubwa mno,si yatapotelea nardhini na kuharibu rutuba ya eneo hilo!!
 
wajitahidi ila wawe waangalifu wengi wameishia hapo.
..Hakuna cha uangalifu hapo anaweza kutokea mwehu mmoja akaamua tu kuwafanyia uharamia wenzake na somo likawa tofauti kabisa...acha bana watu hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom