Sometimes we create our own heartbreaks though expectations.

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
11,925
Reaction score
36,835
Jitahidi usiwe na too much expectations kwenye chochote kile iwe kwenye mapenzi, uchumi, kisiasa, kijamii. Hii itakusaidia badae mambo yakiwa ndivyo sivyo.
 
Jitahidi usiwe na too much expectations kwenye chochote kile iwe kwenye mapenzi, uchumi, kisiasa, kijamii. Hii itakusaidia badae mambo yakiwa ndivyo sivyo.
Tokea uache kushabikia mpira na makolo umekuwa unaandika madini sana
 
Watu wachache sana hapa jamvini ambao ningekuwa nagawa doctorate ya heshima basi ningempa ila ndiyo vile sihusiki ila kuna sehemu nahisi anammendea kipenzi changu hivyo inanifanya nikae naye kwa machale sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…