Sometimes wanaume wanachangia mwanamke kuchepuka

Sometimes wanaume wanachangia mwanamke kuchepuka

Kama hukojoleshwi si umwambie huyo mwenzio, sasa mtu kakutia shombo halafu unakausha, taufta njia nzuri mwambie ki ustaarab mtafute mbinu mbadala.
Ila kama pia naona wanawake huwa mna taka vitu vingi sana, pesa, care n.k lakini bado tena na kukojoleshwa mna taka. Punguzeni demands mnawapa wanaume mawazo sana mpaka wanashindwa ku perfom vzuri.
Ha, ha haaaaaa wapunguze mahitaji concentration ibaki njia kuu au sio?
 
ata umwambie inasaidia nini wakati ishalegea kama mlenda mkuu wanaume siku hizi wamekua walaini sana...
Kumwambie ofcoz haitasaidia at that very time ila matokeo ya kumwambia yataonekana baadae dada huwezi panda mbegu ukavuna siku hiyohiyo ni kweli itakuwa imeshalegea lakini ukishamwambia yawezekana hiyo nguzo ya tanesco ikawa inasimamishwa hata dakika 45 na zaidi
 
Ha, ha haaaaaa wapunguze mahitaji concentration ibaki njia kuu au sio?

Eeeh mkuu
Yaan mahitaji mengi sasa mpaka ukiingia kwenye ku perfom unajiwazia wewe tuu umalize upumzike maana akili yenyewe isha choshwa
Wanachosha kwa kweli hawa
 
Eeeh mkuu
Yaan mahitaji mengi sasa mpaka ukiingia kwenye ku perfom unajiwazia wewe tuu umalize upumzike maana akili yenyewe isha choshwa
Wanachosha kwa kweli hawa
Dah na wanajua ku~demand sana hawa watu inabidi ifike muda waanze kuainisha zile basic demands kama ni kukojeleshwa kwanza mengine yawe compliments au Mengine kwanza kukojeleshwa kuwe compliment
 
Yaani ile hali haielezeki, ingekuwa inalast kwa dakika ingekuwa poa sana.
Hebu imagine ingekuwa inachukua kama dk 5 hivi nadhan watu wengi sana wangekuwa wanafia viunoni kwa mshituko Wa moyo
 
Sisi wanawake tumezaliwa wavumilivu sana kuacha wale wenye tabia za asili.. ila kiukweli wanaume wamekua wabinafsi sana kwenye suala la mapenzi na ukifuatilia ni wanawake wachache sana wanaoridhishwa na wapenzi wao hasa walio kwenye ndoa na maambukizi mengi ya magojwa ya zinaa yanatokea kwenye ndoa..

Mwanaume akili yake anajua akishakupata ukamvulia the first-time basi huwa wamekua ni wabinafsi sana mnakuta mnasex yeye akisha maliza haja zake basi kageukia upande wa pili na bora achukue muda ila mwingine akiingiza tuu tayari karusha anakuachia shombo tuu na ham kibao mwishowe inalegea kama mlenda.

Siongelei wanaume wote hapa nimesema baadhi ...hii hupelekea mwanamke kuwaza mengi na kutoka nje mwanaume anakujibu kila kitu si unapata? hata uwe na kila kitu ndani usipokojoleshwa ni bure wanaume jueni kuwaridhisha wapenzi wenu acheni ubinafsi.......
Yani ukiacha mtu kuwa malaya tu yani muhuni muhuni tu, kuchepuka kwa mwanaume mwanamke anahusika na kuchepuka kwa mwanamke mwanaume anahusika!ni ivyo tu!
 
Wengine kama marobot kiuno kimeganda kama barafu wewe ujitutumue weee mwenyewe kajilaza tu kwani unashindwa nini na wewe kujituma kama yeye. ukipata demu kama huyo we mwaga tu hamna namna
 
Sisi wanawake tumezaliwa wavumilivu sana kuacha wale wenye tabia za asili.. ila kiukweli wanaume wamekua wabinafsi sana kwenye suala la mapenzi na ukifuatilia ni wanawake wachache sana wanaoridhishwa na wapenzi wao hasa walio kwenye ndoa na maambukizi mengi ya magojwa ya zinaa yanatokea kwenye ndoa..

Mwanaume akili yake anajua akishakupata ukamvulia the first-time basi huwa wamekua ni wabinafsi sana mnakuta mnasex yeye akisha maliza haja zake basi kageukia upande wa pili na bora achukue muda ila mwingine akiingiza tuu tayari karusha anakuachia shombo tuu na ham kibao mwishowe inalegea kama mlenda.

Siongelei wanaume wote hapa nimesema baadhi ...hii hupelekea mwanamke kuwaza mengi na kutoka nje mwanaume anakujibu kila kitu si unapata? hata uwe na kila kitu ndani usipokojoleshwa ni bure wanaume jueni kuwaridhisha wapenzi wenu acheni ubinafsi.......
Sasa kama ulimpendea pesa. Unategemea nn?? Nyinyi si mnasema mwanaume awe na pesa..sasa pesa hizo hapo...kila kitu unatimiziwa..unataka nn tena...tunawaambia acheni kuweka pesa mbele..angalieni quality zinazoenda sambamba na love kwa mwanaume...hamtojuta...
 
Back
Top Bottom