Sometimes Prostitution Saves Marriages

Sometimes Prostitution Saves Marriages

Napenda sana malaya waliopimwa afya na kila nikiwa nje ya Nchi lazima niagize escort, naunga mkono hoja kabisaaaaaa malaya waliopimwa afya ni watamu sana.
 
Duuh....nmebaki mdomo wazi..wanaume 10,910?? Ila ameongea point ambayo kila mwanamke anapaswa kuelewa kwanini mwanamme akichepuka inapaswa asamehewe ila mwanammke akichepuka hapaswi kusamehewa...



Here we go-


"Men don't cheat because they can, they cheat because they are satisfying their biological desire - this is not Pretty Woman - men don't leave their wife for an escort."



Nawasilisha
Men don't cheat because they can, they cheat because they are satisfying their biological desire - this is not Pretty Woman - men don't leave their wife for an escort."
 
Hata kama unajua kingereza vizuri ila nyaraka kama hizi unajikuta huwezi kusoma yote na hata ukisoma huelewi
 
Dunia ndivyo ilivyo na ndio maana biashara ya ukahaba ndio kongwe na ndio ngumu kuiondoa katika mji wowote ule duniani.
Na siku serikali yoyote ikifanikiwa kuwaondoa makahaba mijini basi watoto wetu wa kike, dada zetu, wanafunzi watakuwa wapo hatarini kwa asilimia 100.
Ukahaba unatakiwa uwe legalized.
 
10,000 ina maana kama ni kila siku mwanaume mmoja basi amelala na wanaume miaka 27 kila siku bila kuruka siku; yaana hana siku zake wala haumwi na wala hakuwai kuwa na sababu yoyote ya kumfanya asilale na mwanaume. Pili kama ana miaka 36; ina maana amenza ufuska akiwa na miaka 9 ili kufikisha hiyo idadi ya wanaume 10,000.

Hitimisho langu ni kuwa hiyo takwimu si ya kweli
Si ya kweli au ni ya kweli hata sisi hatujui.

Huyo mwana dada pekee ndo anajua ukweli.
 
"Men don't cheat because they can, they cheat because they are satisfying their biological desire - this is not Pretty Woman - men don't leave their wife for an escort."

Nawasilisha

Hii ndo ilikuwa lengo la kuileta hii mada.
 
Men don't cheat because they can, they cheat because they are satisfying their biological desire - this is not Pretty Woman - men don't leave their wife for an escort."
How do you find the statement? Do you agree with it?
 
Hapa nchini haiwezekani labda kufanyike mabadiliko ya sheria za makosa ya jinai.
Ukahaba unatakiwa uwe legalized.
 
Si ya kweli au ni ya kweli hata sisi hatujui.

Huyo mwana dada pekee ndo anajua ukweli.
Mkuu huyo cha mtoto, mwaka 2014 - 2016 kuna mdada Mkenya alitunukiwa tuzo nimesahau jina la Kaunti kwa kutembea na wanaume kama 25000 hiv...
 
10,000 ina maana kama ni kila siku mwanaume mmoja basi amelala na wanaume miaka 27 kila siku bila kuruka siku; yaana hana siku zake wala haumwi na wala hakuwai kuwa na sababu yoyote ya kumfanya asilale na mwanaume. Pili kama ana miaka 36; ina maana amenza ufuska akiwa na miaka 9 ili kufikisha hiyo idadi ya wanaume 10,000.

Hitimisho langu ni kuwa hiyo takwimu si ya kweli
Huwezi jua,labda kuna siku alikuwa anapigwa na wanaume wengi
 
Ana bahati sana... Mambo kama hayo tunasikia tu, she / he ended up catching HIV/AIDS...




Cc: mahondaw
 
Ana bahati sana... Mambo kama hayo tunasikia tu, she / he ended up catching HIV/AIDS...




Cc: mahondaw
Siku hizi HIV ni jambo la kawaida sana.

Watu wanaogopa visukari, presha, cancer n.k

Ila HIV una uhakika wa kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom