Sometime kusamehe ni Dawa (true story)

Namaanisha baada ya kumfumania hakurudiana tena na mudi
Hapana kwa sasa ametulia mkuu akili imekomaa.
Na hata kama anachepuka Mimi mwenyewe siwezi acha samaki aliyenona kizembe japo tu tunaheshmiana sana ..

Katulia sasa
 
Wewe timiza wajibu wako kama mume , toa huduma nzuri kulingana na uwezo wako , show hakikisha unasimamia kucha kweli kweli , yani hata akikucheat yeye mwenyewe ajulize "nimefanya nn " .... But I'm afraid to say moyo kama wako sina kwa sasa , nikikufuma na wife chumbani lazima tufukuzane kidogo
 
Inaumiza kweli sio uongo
 
OK makomamanga tuendelee.

Kama mjuavyo hakuna siri duniani hapa ,
Nilichokitafuta nilikipata ,nilimkuta na brother man mmoja wa kitaani kwao anaitwa mudy..
Kibaya zaidi mudy alikuwa ameoa nae.

Sikutaka mambo ya kupigana wala kumtafuna jicho mudy maana hiyo kazi kuka angeifanya chapu sana.

Alikuwa na aibu, majuto na msamaha kwa wakati mmoja..

"Vaa nguo usepe" ilikuwa ni sauti yangu ikimuamuru mudy avae na aondoke sina shida nae.
Kuka alinilaumu sana kwa kumuachia mudy aende bila kumfunza. Ila ndo hivyo hata ungempiga haisaidii kitu.zaidi ya kuwa umechapiwa.

Nilimchukua mke wangu huyo mpka nyumbani..kisha nikamwambia akaoge .
Na kumbe mtoto alimpeleka kwao .
Nikamwambia abaki nikamfate ..

Nikaazima pikipiki kwa mwana mmoja huyooo..
Wazazi hawakuwa na pingamizi niliwaambia mama peter yuko na kazi nyingi home..

Balaaa....!

Kufika home na mwanangu peter huku nilipitia na chips zege ,nakuta mama ake anatokwa na mapovu mdomoni...!

Kanywa sumu nini???.mmh?
Fasta nikachomoka speed mpka dukani kwa mangi nikachukua maziwa fresh nikaja kumnywesha mke wangu huyu huku naingiza mkono mdomoni kumtapisha ...!

Alipoanza kupata ahueni nikamkimbiza hospital.
Dokta anasema alikunywa mavidonge mengi madude gani sijui ...!

Akalala hapo hospital kama mjuavyo wazazi lazima wajue kuwa mtoto wao kalazwa wakatia team na wangu wakajua mkweo kalazwa wakatia team.

Kazini niliomba ruhusa maana nilikuwa nna mkataba nao haikuwa deiwaka.
Niliporudi home ndio nikaiona karatasi pale chini mama Peter aliandika..

"Nimeamua kujiua baba p sistahili kuishi"

Upuuzi gani huyu kaandika ikiwa sikumpiga wala hata kumtukana?
Na ikiwa nilipanga kumsamehe siku hiyo hiyo na kusahau kabisa?

Nikaja kujua kuwa hisia zinaumiza zaidi kuliko kipigo na matusi nk..

Alifunguka mbele ya wazazi wake mwenyewe Mimi sikusema na wala sikupanga kusema ..
Ningesema nini? Kuchapiwa ni aibu, na labda alinicheat kwa sababu ya mapungufu Fulani ambayo nilitakiwa kurekebisha...! Only god know.!

Niliamua kuangalia mbele na kusahau yaliyopita maana kama kucheat nimecheat sana tu huko nyuma..
Hata ningemuacha je utaacha wangapi???

Pia alinizalia mtoto sikutaka mtoto akose malezi ya baba never..!

Mwaka uliofata nilirudi shule A level .
Na kwenda chuo flani nilishamaliza na maisha yanaenda nipo na ajira official japo nimeanza soon tu..

Nina watoto watatu na mama peter
Ananijua na Mimi namjua vizuri .
Tunapendana na watoto wana furaha ..
Na akili zetu zimekuwa sasa..

Kusamehe sometime ni dawa na njia ya kujifunza , na kujifunza kunakuja kutokana na experience...!

With love ..
Pancho boy
Mkuu itoshe tu kusema wewe ni mtu bora sana.
 
Binafsi Nitasamehe na kuvumilia mwanamke mchoyo,mchafu,mnafki,mbea n.k lakini sio MSALITI tena ambaye umemfumania live! Hata YUDA baada ya kusaliti hakusamehewa mpaka ikabidi ajinyonge.Hata Biblia inasema usimwache mwanamke isipokuwa kwa sababu ya UZINZI.
 
OK makomamanga tuendelee.

Kama mjuavyo hakuna siri duniani hapa ,
Nilichokitafuta nilikipata ,nilimkuta na brother man mmoja wa kitaani kwao anaitwa mudy..
Kibaya zaidi mudy alikuwa ameoa nae.

Sikutaka mambo ya kupigana wala kumtafuna jicho mudy maana hiyo kazi kuka angeifanya chapu sana.

Alikuwa na aibu, majuto na msamaha kwa wakati mmoja..

"Vaa nguo usepe" ilikuwa ni sauti yangu ikimuamuru mudy avae na aondoke sina shida nae.
Kuka alinilaumu sana kwa kumuachia mudy aende bila kumfunza. Ila ndo hivyo hata ungempiga haisaidii kitu.zaidi ya kuwa umechapiwa.

Nilimchukua mke wangu huyo mpka nyumbani..kisha nikamwambia akaoge .
Na kumbe mtoto alimpeleka kwao .
Nikamwambia abaki nikamfate ..

Nikaazima pikipiki kwa mwana mmoja huyooo..
Wazazi hawakuwa na pingamizi niliwaambia mama peter yuko na kazi nyingi home..

Balaaa....!

Kufika home na mwanangu peter huku nilipitia na chips zege ,nakuta mama ake anatokwa na mapovu mdomoni...!

Kanywa sumu nini???.mmh?
Fasta nikachomoka speed mpka dukani kwa mangi nikachukua maziwa fresh nikaja kumnywesha mke wangu huyu huku naingiza mkono mdomoni kumtapisha ...!

Alipoanza kupata ahueni nikamkimbiza hospital.
Dokta anasema alikunywa mavidonge mengi madude gani sijui ...!

Akalala hapo hospital kama mjuavyo wazazi lazima wajue kuwa mtoto wao kalazwa wakatia team na wangu wakajua mkweo kalazwa wakatia team.

Kazini niliomba ruhusa maana nilikuwa nna mkataba nao haikuwa deiwaka.
Niliporudi home ndio nikaiona karatasi pale chini mama Peter aliandika..

"Nimeamua kujiua baba p sistahili kuishi"

Upuuzi gani huyu kaandika ikiwa sikumpiga wala hata kumtukana?
Na ikiwa nilipanga kumsamehe siku hiyo hiyo na kusahau kabisa?

Nikaja kujua kuwa hisia zinaumiza zaidi kuliko kipigo na matusi nk..

Alifunguka mbele ya wazazi wake mwenyewe Mimi sikusema na wala sikupanga kusema ..
Ningesema nini? Kuchapiwa ni aibu, na labda alinicheat kwa sababu ya mapungufu Fulani ambayo nilitakiwa kurekebisha...! Only god know.!

Niliamua kuangalia mbele na kusahau yaliyopita maana kama kucheat nimecheat sana tu huko nyuma..
Hata ningemuacha je utaacha wangapi???

Pia alinizalia mtoto sikutaka mtoto akose malezi ya baba never..!

Mwaka uliofata nilirudi shule A level .
Na kwenda chuo flani nilishamaliza na maisha yanaenda nipo na ajira official japo nimeanza soon tu..

Nina watoto watatu na mama peter
Ananijua na Mimi namjua vizuri .
Tunapendana na watoto wana furaha ..
Na akili zetu zimekuwa sasa..

Kusamehe sometime ni dawa na njia ya kujifunza , na kujifunza kunakuja kutokana na experience...!

With love ..
Pancho boy
Kwa hiyo kaka saa hizi tope unajilia wewe
 
Back
Top Bottom