Something I found out today

kuwa na friends its cool thing, lakin try to keep your circle small.....

less friends less bullshit.
 
How, just give me a clue
Hujawahi kusikia mtu wa mzima lakini ana mambo ya kitoto,hiyo ni moja ya mtu kuchelewa wakati alipotakiwa kufanya hayo mambo ya kitoto hakufanya hence ndio mana anaambiwa kachelewa huo ni mfano of how unaweza kuchelewa
 
ok asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…