Something From Nothing

Hicho kitabu umeandika kwa kutumia kichwa kingine zaidi ya hiki unachotumia kufikiri yale unayo yaandika hapa ? Kama ni kichwa kimoja na hiki utumiacho hapa, kutumia 15,000. ni ubadhirifu...
 
Hicho kitabu umeandika kwa kutumia kichwa kingine zaidi ya hiki unachotumia kufikiri yale unayo yaandika hapa ? Kama ni kichwa kimoja na hiki utumiacho hapa, kutumia 15,000. ni ubadhirifu...

Hahaha,mkuu usidharau kazi yangu maana hunijui
 
God or "means of Life initiation" or "Super being" exists, as you have clearly showed everything required sparkle of initiation ( genetics yet to be explained), who brought forth this? Good science will in deed go through footsteps of the creator. As a christian with a bit of science mind I continue to witness creator hand in different ways.
You being a denial of very force that brought forth that sparkle blinds you from finding the truth.
As I speak scientist are investing concept of more than 3 dimension world this if can be understodd will shock the future world.
But wait people like you will find out the hard way, I only pray you open your thinking world by first considering existence of such a super being, who I call God and try to understand creation and the universe.
 
Ok,but may you please prove the existence of God?
 
Ok,but may you please prove the existence of God?
hakuna science ya kuprove Imani which is a necessary tool to understand God existence, but this does not mean God does not exist , you said it yourself in the past some of the current technologies were considered impossible, as per word of God its per thy Grace we are chosen to be his (this will not be understood since current science is obsolete to prove it), the chosen have exeperience God's existence and the call is available to ALL, including you.
 
No exclude me from the list please ,I don't an i will not believe in your GOD
 
Kwanza kabisa hongera maana hujajibu kwa matusi na kashfa kama kawaida yako.Maana ningekutana na tusi na kashfa nisingejibu hii hoja yako japo sio hoja ni muendelezo wa kitu kile kile ninachojibu kila siku.Haya kamata majibu yako na maarifa hapa chini...

Ushahidi wa Ulimwengu kuwa dhaifu upo wazi,Magonjwa,Umasikini,utajiri,majanga,maafa,watu kuzaliwa vilema wakati mungu hakuumba kilema,.Kumbuka Hakuna kitabu cha dini kinachoeleza sababu ya mtoto kuzaliwa kilema,ama mwenye ukoma aliupataje (zamani waliamini ni laana.),.Sayansi pekee(Biology) ndio itakueleza kwa nn.Hakuna Koran wala Bible inayofafanua sikoseli,wa wala appendix.

Mungu(kama yupo) aliye mkamilifu alisahau kwamba mwanadamu atapata appendex na kufa??,Bila juhudi za sayansi(operation ) mngesema ni kaz ya mungu ama mungu kapenda kama kawaida yenu.

Umejifunga kuhusu mto,kama kutokuonekana kwa mto haimaanishi kwamba Hakuna mto,Iweje kutokuonekana kwa Mungu imaanishe yupo?Je unapinga nn sasa?(tafakari)

Free ideas sio jina la watu,hata wewe unaruhusa ya kulitumia iwapo ukiwa na mawazo huru kama mimi.

Mto unaopita chini ya Ardhi tanzania sio ajabu ndugu il mradi ithibitike kwel kuna mto hata nisipouona nipate ushahidi wa uwepo wake.Tatizo niwe we kushindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu wako .

UNafaham maana ya free will?,ama freedom ?.Mungu wako kakupa Freedom ?.Nahisi hujui ulichoandika hapa .Iweje akupe uhuru wa kuamua unalopenda kisha akwambie ufuate anayotaka yeye?.,Uhuru gani unahukumu?.Kwa nn akuhumuku nawakati alikuwa Free will?(tafakari).Hakuna uhuruu katika imani kijana acha kujifariji Hizo ni Amri.

Sina haja ya kukufahamu Ishmael maana sio lazima,kwa hiyo hiyo sio hoja kwamba nimekufahamu hapa.

Kuhusu Big bang kasome web hiyo hiyo uliyokopy hicho kipande cha mwisho badili tu pale juu andika The Big bang theory.,Ila angalia isije ile comedy ya kimarekani ukadhani ndo majibu...
 
Last edited by a moderator:
Free ideas, Baada ya kuimba hapo juu, sasa turudi kwenye mada yako ya nihilo ex nihilo. Inaoneka hoja na au madai yako yamekushinda na ukaamua kukibilia ile issue ya existence of of God. Who do you compare God with?

The main issue here katika hoja yako ni hii hapa: SASA USISEME OOOH nimekutukana maana nyie wapinga Mungu sijui kama mna weza nipa ushaidi wa kutukana na kama upo kwenye sayansia. Kaazi keli kweli.

Kwa kutumia FACTS zenu nyie mnao dai na kujiita wanasayansia, iganawa hata sie tupo huko, ni KIVIPI explosion ya big bang ITOKEE ex nihilo, I mean, for explosion to occur inahitaji something to explode into.

Kama ex nihilo existed before the big bang, hivyo kulikuwa hakuna platform ya explosion kutokea. Katika kesi hii ambayo unadai kuwa enormous bang had once occurred inaweza tu kuwa hivyo kama framework ya setting which was every bit a part ya physical world as kama ulimwengu ulivyo hii leo.

Kwa maneno mengine Big Bang ililipuka katika ulimwengu wa kimwili ambao ulikuwa tayari Extant kabla ya kutokea. Aidha njia hii inathibitisha kwamba Big Bang sio na imeshindwa kuhusishwa na uumbaji wa mambo yote.

Which come first; theory or law,once a theory is proved to be accurate then it become a fact.So theory is nothing but assumption trying to explain uncertain facts. Soma vizuri mkuu kabla ya kuja kubwatabwata huvyo.
 
Sijajua kama umesoma na kuelewa uzi wangu,ama hujasoma kabisa,kila kitu ulichouliza nimejibu humo
 
Sijajua kama umesoma na kuelewa uzi wangu,ama hujasoma kabisa,kila kitu ulichouliza nimejibu humo

Umeshindwa kujibu swali au huna uwezo wa kujibu swali? Uzi wako ni creation ex nihilo. Caption yako inazungumza loud and clear.

Ndio maana nilikwambia, kwanini unakimbia mada yako uliyo ianzisha?
 
No exclude me from the list please ,I don't an i will not believe in your GOD

Then you are just the same as ancient critics who refused an idea that a machine could carry people and flew (now we call airplane or helicopter).
Or you have chosen to align yourself with other side:flame:
 
Hayo n mawazo yako
 
Which come first; theory or law,once a theory is proved to be accurate then it become a fact.So theory is nothing but assumption trying to explain uncertain facts. Soma vizuri mkuu kabla ya kuja kubwatabwata huvyo.

What are you talking about? Did you even understand what I wrote?
 
Umeshindwa kujibu swali au huna uwezo wa kujibu swali? Uzi wako ni creation ex nihilo. Caption yako inazungumza loud and clear.

Ndio maana nilikwambia, kwanini unakimbia mada yako uliyo ianzisha?

We majibu si huyaoni na unataka ujibiwe kwa namba
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…