Something From Nothing

ukitaka kuprove kitu fata njia za derivation afu utatua kwenye formular itayotatua tatizo therefore whoever who wana prove the existence FIND GODs FORMULAR then you will see GOD
 
So if I put a bread on a table for example, there will be nothing there, because the bread has taken that space?

there will be something you count a bread and that space absence of them all is nothing,
what i mean is space is something which holds something when you remove space you get nothing .Nothing is a BIG SECRET
 
Aisee niupenda mjadala ila samahani wakuu naomba niulize; Mnaposema empty space mnamaanisha nini? je kwenye empty space kunaweza kuwa na force? kama zinaweza kuwepo kwanini tuite empty space wakati tayari kuna force?
 
Aisee niupenda mjadala ila samahani wakuu naomba niulize; Mnaposema empty space mnamaanisha nini? je kwenye empty space kunaweza kuwa na force? kama zinaweza kuwepo kwanini tuite empty space wakati tayari kuna force?
empty space is what holds something ile tu hali yakuwa nafasi tayari ni kitu ,sasa toa nafasi ndo hakuna chochote ujuacho hapo sasa i term it utupu
 
Free Ideas, Kuna mambo mengi sana ninyi wanasayansi hamuwezi kuyafafanua kinaga ubwaga, kwa mfano; Mimi nimeshuhudia wazee wakiomba mvua kwa kuchinja Mbuzi na Ng'ombe sehemu moja inaitwa Mseseweni Kinyamvuo wilaya ya Moshi Vijijini... mvua ilinyesha from nowhere kwa mfululizo hadi wazee walipoenda kuomba tena kuwa imetosha!!! Tumeshuhudia mara nyingi Wild Fire wengine wanaita Bush fires zikiwatesa mataifa makubwa na kuwaletea madhara makubwa ya ajabu, tumeshuhudia Hurricanes, Tsunami na Tornado zikileta madhara kwenye nchi ambazo wanadai wanaweza kutabiri kisayansi... tunaona vomondo vikiruka angani! Tunaona jinsi ambavyo watu wanaponywa kwa maombi pekee! tulishuhudia hapa Maradona alipewa siku chache tu za kuishi lakini hadi leo anadunda kama kawaida! Haile Selasie aliamuru upepo usafishe anga iliyonyunyiziwa sumu na Wataliano... Kwanini mpaka sasa hamjaweza kutengeneza uhai wa viumbe? kwanini mpaka sasa mnashindwa kutembelea sayari nyinginezo? Formation of Galaxies ikoje? Ilikuwaje kukawa na anga yenye layers amapo kila layer inakazi yake mahsusi?... Itoshe kusema kuwa yote ni kazi ya Creator/MUNGU ... yenye ndiye mmiliki wa kila kitu katika dunia hii na kesho akhera ...Kwa mwenye akili lazima atajua tu kuwa Hakuna Mwanasayansi mwenye uwezo wa kugeuza usiku kuwa mchana ... hakuna wa kuweza kugeuza dunia izunguke atakavyo...Only Allah S.W.T ndiyo muweza wa yote ...
 

Asante kwa swali zur ambalo hata hivo nimerijibu mara nyingi sana humu lakini hata hivo nitakujibu,,..

Kuhusu kuomba mvua,hilo ni jambo ambalo linafanyika ila si kwa sababu wameomba,NO,mvua ili inyeshe kuna hatua zake,Bila kuwepo evaporation,condensation+, precipitation,hakuna mvua hata wangeomba vipi.Ndo mana zamani zile walitambika sana pia hata mvua ilipokata lakini kama haikuwa msimu wa mvua hazikunyesha kisingizio kikawa kwamba wazee wamekasirika kwa dhambi zetu.kwa hiyo usidanganyike na magic kama hizo,.



Wild fire inatokea na upepo ambao unapush moto kwenda mbali zaidi na kusafiri kwa kasi ndo mana huwa ni tatizo.kumbuka haya yote yanaelezeka.


Kuhusu kutengeneza uhai wa viumbe sio tatizo ni swala la muda tu na kumbuka sayansi inakua kila kukicha,
Kuhusu volcanic eruptions, Tsunamis na vingine,lazima ujue kwamba ni vitu vinavotokea naturally!, havihusiani na nguvu yoyote kwa hiyo havizuiliki ila vinaepukika na ndo mana vinapimika kabla havinatokea.
Lakini amini nakwambia kama huu mjadala tungeufanya mwaka 350AD ungesema hayo yote ni adhabu kutoka kwa mungu kama walivosema walokuwepo.kwa sababu tu sayansi ilikuwa haijakuwa na haikuweza kueleza nini kinatokea.
Usiku kuwa mchana hiyo ni Natua ambayo tunajua sabbu yake kwamba ni mzunguko wa dunia,hakuna anayeweza kuzuia dunia kuzunguka ndugu. Lakini miaka hiyo hakuna aliyeweza kuelezea kwa nn hasa inakuwa hivo.kwa hiyo amini nakwambia kadri siku zinavisonga mungu anakosa KAZI.maana mambo yanafahamika

Kutembelea sayar zingine sio point ya muhimu sana,na ulitakiwa ujiulize mbona mwezini tulifika?,ndo mana nakwambia ingekuwa tunajadili hivi miaka 1000 ilopita ungesema mbona hamjaenda hata mwezini.lakini nasikitika kwamba umesahau kwamba mwezini tulienda,

Asante kwa swali kama unalo lingine uliza ama kama hujaelewa sehem uliza ndugu
 
empty space is what holds something ile tu hali yakuwa nafasi tayari ni kitu ,sasa toa nafasi ndo hakuna chochote ujuacho hapo sasa i term it utupu

kwamba tukitoa hiyo nafasi kinachobaki ndio utupu.... hapo nimekuelewa. Je nikisema utupu ni kitu cha kufikirika tu nitakuwa nimekosea?
 

Umejitahidi sana kumwaga yale uliyokaririshwa japo mwishoni umejichanganya sana kuliko mwanzo.
Evolution bado inaendelea=NDIO, ''Inaendelea lakini its too slow for us to see,kumbuka tunaishi kwa miongo michache na pia evolution its too slow to be noted easy'' hii unayosema ''Too Slow'' unaipimaje ? Ni too slow kwa kuwa inahitaji miaka 5m kuiona ?
Umri wa Penicilin ni miaka mingapi ? kiasi yenyewe isiathiriwe na Too slowness ya Evolution ya Bacteria, kama evolution ingekuwa kweli ! ingechukua mamilioni ya miaka kwa bacteria kuevolve na kuishinda Penicilin ...

Pamoja na kukariri kwako hujamfikia Great thinker Einstein, "science without religion is lame, religion without science is blind.

wewe unataka ku practice science pasipo dini. sasa kosoa kwanza quote ya nguli Einstein ndiyo tuendelee kujadili kariri zako.

Evolution haijawahi na haitawahi kuthibitishwa, ni day dream za Darwin na wanaofuata hujikita wakimeditate ili waone namna evolution ilivyokuwa inatengeneza Nyoka wa Aina mbali mbali wenye sumu tofauti na rangi tofauti huku wakiwa kwenye mazingira sawa.
 
The Gaps of Science does not create God,or means that There is GOD ,its the matter of time & Development in science fields.If they do create him,allow me to call him THE GOD OF GAPS,

just a matter of Time ? evolution inaendelea ''too slow for us to see ''wanasayansi hawako excempted na evolution, wataevolve na kuwa mijusi, nani ataendelea kufukia GAPS ?
Tatizo ni kutafakari kunakusumbua ndugu...Au evolution haiwahusu binadam tena, wao wamekamilika ?
 
kwamba tukitoa hiyo nafasi kinachobaki ndio utupu.... hapo nimekuelewa. Je nikisema utupu ni kitu cha kufikirika tu nitakuwa nimekosea?

utupu upo utabaki kwenye fikra maana picha halisi ya utupu anaijua muumba sisi picha haiji kabisa hata ufikiri vipi utupu huwezi jua upo vipi still ndani ya utupu kuna vitu ,sasa ukitaka kujua hii ikoje ndo unaambia john8:32 hope nimeeleweka.
 

Mkuu unanpa raha sana unapopgiria misumari kwenye hoja zako bila vurugu za udin...tofaut na jamaa mmoja hv yeye kutukana din ya wenzie bila hoja zenye mashiko ndio kaz yake
 
utupu upo utabaki kwenye fikra maana picha halisi ya utupu anaijua muumba sisi picha haiji kabisa hata ufikiri vipi utupu huwezi jua upo vipi still ndani ya utupu kuna vitu ,sasa ukitaka kujua hii ikoje ndo unaambia john8:32 hope nimeeleweka.

Ahsante mkuu umeeleweka
 
Umejitahidi sana kumwaga yale uliyokaririshwa ...

Pamoja na kukariri kwako hujamfikia Great thinker Einstein, "science without religion is lame, religion without science is blind.
.

Kukariri sio kosa,ndo mana na wewe hata wewe umecomment hapa zaidi ya mara ,maana yake ni kwamba umekariri la sivyo ungepozea uzi.Hata kuitaja tarehe yako ya kuzaliwa,ama hta ulichofanya jana maana yake umekariri.

Kuhusu kumfikia Einstein,nani kakwambia kwamba mi nina malengo ya kumfikia ama hata tu kijifananisha naye!?sina haja hiyo.
Tafuta kitabu changu kinaitwa Free ideas (2008/9)usome may be utapata maarifa,(Tsh.15000,)
 
hicho kitabu ni mawazo ya mtu mwingine mawazo yako ni yapi?? hate cramers Free ideas
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…