Someone's Vault: Remember this movie?

Someone's Vault: Remember this movie?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,104
Reaction score
53,606
vlcsnap-2013-03-17-12h46m34s131[1].png
 
duh hayo mahela yawe yangu nakufa kabla sijayatumia
 
duh hayo mahela yawe yangu nakufa kabla sijayatumia

kwanini? ni juavyo mimi hamna hela nyingi, kwamfano ukawanayo hayo uhaamua kwenda kuishi kwenye hoteli fulani hapo uarabuni tu sijui kama uatamaliza mwezi...
 
kwanini? ni juavyo mimi hamna hela nyingi, kwamfano ukawanayo hayo uhaamua kwenda kuishi kwenye hoteli fulani hapo uarabuni tu sijui kama uatamaliza mwezi...

hela nyingi kwa kiwango chetu. kila mtu ana level zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom