Someone to join me in Dar

IGWE

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
9,744
Reaction score
8,187
All the way from A-town,..niko hapa Italian Pub House-maeneo ya Tabata Chama kuelekea Mawezi tunakunywa na washkaji..ningependa sana kama ningekutana na member wa Jf Dar...

Nb:I will take care of the bill..just company...can anyone hear me.
 
kamanda.....utasubiri sana....sio nyumbani huko ujue........
 
Utasubiri saaaaana embe chini ya muarubaini!
 
kamanda.....utasubiri sana....sio nyumbani huko ujue........

mmmmmh..Umeona eeeh...anyway ngoja niende zangu msibani..maake..lo.
 
Huyu kachelewa sana kusema...Dar ni kubwa sio kama Arusha...

acha hizo wa kunyumba..sema uko wapi nakuzukia sasa hivi..maake naenda msimbazi centre msibani...bado mapema..au ndio maandalizi ya tanga trip ndio yanakunyima muda.
 
ahahahaaaaaaa....Dar ni kiboko..ni waoga kama digi digi.

Lilino mundungu nkamu...abhamdu bikhutughasya kutali...Mbwani jili nywamu fijo!!
 
acha hizo wa kunyumba..sema uko wapi nakuzukia sasa hivi..maake naenda msimbazi centre msibani...bado mapema..au ndio maandalizi ya tanga trip ndio yanakunyima muda.

Kiluvya kama unaenda Kibaha...kesho ni kazini au umesahau hilo kaka kwa kuwa upo likizo!!!
 
Kuna gym hapo sikujua upo hapo, nimetoka kufanya exercise muda si mrefu.
 
mimi niko katavi pub segerea nakunywa mvinyo
 
Lilino mundungu nkamu...abhamdu bikhutughasya kutali...Mbwani jili nywamu fijo!!

nji menye fijo ibwani nnkamu..nngulile papapa nnkamu..just to make you high
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…