richie hassan
Member
- Jan 10, 2013
- 52
- 9
jamani naomba msaada how to restore back my fb account bcuz kuna mtu ameni-hack, naombeni ujuzi kidgo jinsi ya kuirejesha. pia itakuwa ni elimu pia kidgo kwa wale ambao wanahitaji kujua na kujifunza
kama unauhakika umehakiwa Pitia hapajamani naomba msaada how to restore back my fb account bcuz kuna mtu ameni-hack, naombeni ujuzi kidgo jinsi ya kuirejesha. pia itakuwa ni elimu pia kidgo kwa wale ambao wanahitaji kujua na kujifunza