Pole Sana mkuu, I feel your pains. Honestly, who ever said "we unalilia kiatu mwenzio hana mguu" was probably a Wiseman. Katika haya maisha unaweza ukapitia kipindi kigumu but kumbe kuna mwenzio anapitia magumu zaidi. All in all mkuu, usikate tamaa. God is always there, nimerefer kwenye your previous threads nimegundua kwamba moja ya changamoto you're facing ni usafiri pia.
I have an idea mkuu kama hutojali, wenzetu wa nchi za nje hua wanafungua "fundme" campaigns kwa ajili ya kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali. Mkuu, kwanini usifungue na wewe uiweke hapa Jf (ikiwezekana special thread yake) pia kushare kwenye other social networks ili mwenye Buku, buku bwede, chama , etc. aweze kukuchangia? (Hopefully you have a bank account). Tunaset target tu, mi nafkiri ukifanikiwa kupata hata milioni tano au zaidi si haba unaweza ukaformulate ma ideas yako hakuwezae kujikwamua kiuchumi na kupata pia usafiri wa kukusaidia mobility ya hapa na pale. No quitting mkuu, God got plans for you.
View attachment 1635560