Somebody HUG me please!!

Somebody HUG me please!!

pls karucee, nataka niku-hug japo kwa bluetooth tu.. "Device still searching"

hahaha. Guarantee my safety first. You won't dismantle my ribs or pinch my behind. Then device will be found!!,
 
Duuuuu

Ila unapoanza ku hug hug ili kutimiza malengo kuwa makini usinate lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Waafrica tuna mambo mengi ya kufanya AIDS, CANCER, POVERTY, DROUGHTN E.T.C tuwaachie wazungu na HUGS zao jamani eeeh?!
 
Kila uchafu tuna damped kwa waafrika!! mwisho tutaambiwa to f*ck*n ur mommy is treat, cure or prevent disease!!
 
Hug No. I need Kiroba cha moto na tonic water matatizo yote kwisha.
 
Mh!!!.....ngoja nipite tu, maana wengine tusiokuwa na warembo wa kuwa hug ni maumivu tu hapa.....
 
Hii nimeipenda ngoja nika ifanyie mazoezi na mama watoto
 
Kila uchafu tuna damped kwa
waafrika!! mwisho tutaambiwa to f*ck*n ur mommy is treat, cure or
prevent disease!!

wewe naona unatakiwa ulazwe kabisa ili utundikiwe drip ya HUGS maana inaonekana una stress kibao khaaa!!! hug ni uchafu since when?
 
Mh!!!.....ngoja nipite tu,
maana wengine tusiokuwa na warembo wa kuwa hug ni maumivu tu
hapa.....

Ni hug mie basi DSpecial maana nimeomba someone to hug me lakini naona bado hamna volunteer
 
Last edited by a moderator:
mmmmh nnavopenda hug jmn nyie acheni tu. Yan hata ya kudanganyia tuu inantosha sn. Nasikiaje raha nkiwa huged miee......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom