Some wise kenyans on twitter arguing about their fake brt vs the real brt in dar.

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
kenya's brt is a big joke not only to tanzanians but even to kenyans themselves.

there is an ongoing tight discussion on twitter about kenya's brt.
IMG_20180407_014002.jpg
IMG_20180407_014018.jpg
IMG_20180407_014038.jpg
IMG_20180407_014106.jpg
IMG_20180407_014130.jpg
IMG_20180407_014151.jpg
IMG_20180407_014217.jpg
IMG_20180407_014253.jpg
IMG_20180407_014332.jpg
IMG_20180407_014352.jpg
IMG_20180407_014421.jpg
 
Seems humu ndani hakuna wise Kenyans. BTW i won't be surprised if the price of Kenya's BRT is twice that of DART! U know Kenya...
Hata humu, wakenya wengi wanakubaliana na ukweli kwamba Tanzania ni nchi ya mfano, lakini kwasababu hapa ni mabishano zaidi, sio rahisi kwao kukubali kirahisi, ila wanapokua huko kwenye tweeter na facebook, huwa wanasema wazi wazi kwamba Tanzania sio nchi ya kulinganisha na Kenya, hasa kuhusu uongozi wa nchi, wengi sana wanamkubali Magufuli.
 
Dah! Ulidhani nipo serious? Haya basi tueleze kinachoendelea huko.
Kule ni maswala ya makalio nani anakalio kubwa kuliko mwenzane ,nani na nani wanachomekana dyu dyu ,nani shoga na nani msagaji !
Wakati mwingine ninamuhurumia magufuli maana anakazi sana ya kuwabadilisha watanzania wa namna hii
 
Back
Top Bottom