No attempt to seek insight or help here at JF is futile. BRENDA 18 said something that gave me the way forward- it is striking a balance between the people who run to me and myself, such that I shall not be troubled by their woes yet at the same time I shall give them relief in one way or the other.
King'asti reminded me to count it as a blessing. Once you are overwhelmed by some of these emotions it is not easily to see through the swollen eyes.
Thank you Monsieur Isumbwile, thank you so much.
Thank you sweetie, am not able to view some of these goodies from my phone.
LORDVILLE, I don't have the heart. Let them come, I won't turn them down but sitaweka bango no matter how mean I sound.
You are genuinely generous also you have a welcoming aura so to say. kuna mtu ukimuona tu hivi unakua na amani naye kata kumueleza shida yako (from no where) au kuna mtu mnakutana mnaiva tu (kama mie na wewe) and you feel at easy. Tumia hio gift kuimpact as many lives as you can... and of course that replicates more blessings and joy in your life.
Mimi naweza kuwa na shida kwenye utoaji toaji.....Wakaji mwingine huwa naona kama sipigi hatua mbele kisa kushughulika shida na matatizo ya wengine.... Yaani nisisikie mtu ana shida karibu yangu... itanikera hadi nifanye kitu... na nikifanya kitu nakuwa na AMANI na FURAHA kupita maelezo. sasa mtu anieleze shida ya ukweli halafu ukute sina namna ya kumsaidia... naweza nikasikitika usiku kucha namuwazia.
Linapokuja swala langu SITAKI na sipendi mtu anionee huruma kabisa.... I dont know why. Hata kama ni msaada ntakaataa hadi nilazimishiwe japo utakuta ni kweli nina uhitaji huo kwa wakati huo....
Na mimi ni mrahisi sana hutokwa na machozi ninapoona niliyemsaidia kasaidia then anashukuru genuinely...Sijui kwa nini? I do feel very broken inside, such a humble feeling, the undeserving feeling you name it... but why?
SIfurahii kusifiwa na sipendi kunyenyekewa (utukufu) ila natamani mtu nikimfanyia jema asilichukulie kawaida japo sitaki anishukuru (nataka kuona nia kwake tu kuwa ametambua nimemfanyia kitu baasi inatosha) sijui kama hii hali inaeleweka
Na huwa nakata tamaa ninapofanya kitu kwa moyo mweupe kabisa ila unachukuliwa kama unasubiri malipo fulani baadae... only to find out lately wala kuwazi chochote (pay backs)
I think I am kinda complicated... Kuna watu wa aina hiii kweli au am justcomplicated?????
Njoja nikuulize.Hao wanaokusimamisha ukishawashauri huwa unafatilia progress zao?Huwa wanaendeleaje?Kama kuna Positive impact basi wewe ni councilor naturally na unaweza kui shape hiyo talent ikawa bora zaidi.Thank you, but no. Ngoja waendelee kunisimamisha tu njiani. I do not have what it takes to be a Counsellor. Mfano kuna mtu aliniombaga nimsaidie kuacha bange. lols. Nilicheka sana.
Njoja nikuulize.Hao wanaokusimamisha ukishawashauri huwa unafatilia progress zao?Huwa wanaendeleaje?Kama kuna Positive impact basi wewe ni councilor naturally na unaweza kui shape hiyo talent ikawa bora zaidi.
Thats Karucee bhana!!!! Its a talent.