Some of the Differences between Men and Women | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Some of the Differences between Men and Women

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mamanalia, Oct 3, 2010.

 1. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  1. No body is supposed to say "I want everything" except women
  2. When a man likes something, he will think what he will do to get that thing.
  3. When a woman likes something, she will figure out who (a man) she can get to give her that thing.
  4. When a woman loves a man, his dick is bigger enough to satisfy her no matter what.
  5. When a woman starts hating a man (her lover) the man's dick looks n seems small gradually to her.
  6.Women can not go backward in lifestyle.
  7. Men can not go backward sexually.
  8. Women don't like paying for expenditures; if they try paying for something, it won't last long, they like free good things.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Na utalia kweli,mimi ckugombelezei
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nGOJA WAKUSHUKIE KAMA MWEWE.... TENA WOS KAMA NAMUONA MIDA HII ANAVUTA PUMZI
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  mmmh huu ni u research wa wapi tena:hand:
   
 5. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwakweli no 3 imenichefua sana,yani kwa maana hiyo all women are dependant!aaaaaaaaaaargh,no way not realistic at all.Kwani research yako ulifanyia wapi au sample ilikuwa wa kwako mwenyewe?No to this:hand:
   
 6. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  kwa kifupi I DISAGREE!

  imekaa kudharau wanawake kwa aina fulani.
   
 7. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Usibishane na ukweli bwana.
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  asibishane na ukweli upi? ukweli waujua weye?umeupata wap ukwel u?kwa mkeo?au ndvyo ulivyo?
  km demu wako sjui mkeo ni dependent pole sana ni yeye tu si woooooote..............mmh iyo ya 2 na 3 dah balaa si ya kweli ata kdg izo nyngine wala azipo apa dunian
  tabia ulizozisema hazipo kwa wanawake tu ata kwa wanaume tu its indvdual mata n nt gender issue
  ata wanaume wakimchoka mtu anaweza akasema aahh mwanamke gan yule ....yake mboooooooooooovu ina...........na matusi kibao whch is equivalent to namba 4 na 5 of yours
  wanawake si wategemez na ndiyo watengeneza uchumi wa kwanza nenda vijijini.........uone wanawake wanafayaje then bak to namba 2 of yrs......wanapata wanachotaka kwa kujituma na si kuwaomba wanaume vilaza (si wote)manake midume mingine inajua kula kulala na kutoka nje ya ndoa haijui watoto wamekula nini wala wanaendaje shule
  we bwana kuwa makin wakati unataka kuwadharau watu........NARUDIA TENA......IZI TABIA ZIPO KOTEKOTE SI KWA MWANAMKE SI KWA MWANAUME.......
  acha dharau mara moja la sivyo ntaanza kukunyanyulia vyuma if nt pushap n afta one wik i wl teach u alesson u wl never 4get.
  by mamanalia......naanza kulia mie cz umetukana watu labda haukujua........ndo nakufahamisha..........ndyo hayo ni matusi.period.
   
 9. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asavali umemwambia mamito Rose1980.:llama:
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  thax mumiee..yan awa wadudu wengine wanajifanya wanajua sana kutusi jinsia nyingine kidiplomasia.....!!!
  usikute yeye ndo akitaka kitu anaaangalia amwambie demu yupi amnunulie...akitaka suruali anaenda kwa joyce akitaka boksa anaenda kwa salome akitaka shat anaenda kwa magdalena aktaka tai anaenda kwa perpetua na viatu anaenda kwa joyce ....then anakuja apa na vijimaneno yake.......!!!!!!
  ebu mie nkanywe chai ..spend dharau wakati wasomi wengi nchini tz wamesoma kwa nguvu za kina mama sa yeye anajifanya ...au kazaliwa nw york kakulia paris chekechea washngton dc primary chuo paradise??
  ebu aende zake uko km alitaka kumtusi demu wake angemtusi chumban bt si kuwatusi wanawake woooooooooooooooooooooote!!!!!!
  bg up to ol mamaz!!!!!ol women!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 400
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Rose afadhali umempa bila chenga:tonguez:
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani msameheni hii ni copy&paste kutoka India chunguzeni kiingereza chenyewe.
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  awe na adabu nxt tym
  afanye yote na aongee yote bt si kuwatusi wanawake.........!!!!!!!!!!!
   
 14. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Punguza hasira sis hapa kuna wine "grunburger" ya SA karibu unywe.
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,097
  Trophy Points: 280
  Wana Beijing mmesikia blah blah hizi?
   
 16. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #16
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kumbe humu JF kuna mademu wengi!!!!:A S 13: Wengine nilikua sijawi kuwasikia
   
 17. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Rose umenigusa sana coz mama yangu alisota kwa ajili yangu,,,lkn pia inawezekana hata mamanalia amesotewa na mama yake ni basi tu tabia haina dawa!
   
 18. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Afadhali umeona ni :blah::blah::blah::blah::blah:
   
 19. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ukweli kwa misingi ipi? na ur research imehalalishwa na institution gani? mpaka tuamini ni ukweli?
   
 20. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  lol,nacheka kwa huzuni tupu
   
Loading...